Zari amuuliza Diamond “Madale state lodge au guest house?

Ndio ni dangulo, maana guest/Lodge/hotel zina heshima yake.

Out of topic: hivi kuna mwanaume anaweza kudondosha chozi kwa sababu ya mwanamke?? If yes; may be kuna siku Ivan marehemu Wenda alitoa chozi kwa sababu ya zari kumsarit? .... Who knows? May be yes.

Lakini kwa upande mwingine Wenda nae Ivan aliwahi kumtenda zari. Kwa ili staki kulisemea.

Dhambi ya usalti haisameheki, petro alivyomsalti yesu alijinyonga. na kila chozi linalotoka kwa ajiri ya MTU lazima mungu alipeee. Dia zari hiii ndo adhabu yako sio kwamba nakuchukia.may be na wewe ulishalizwa ulikuwa unataka pumziko la moyo.

Chozi la MTU halidondoki bureeee najua Wenda zari upo humu jf au vibaraka wako wapi humu na wanasoma hapa,

Kwa MTU yeyote ambae alishawahi kutendwa na wewe zari tafuta bonge la movie ya kikorea inaitwa ;

GLASS MASK. Itajibu maswali yote yanayosumbua moyo wako.

Jioni njema Niko episode ya 94 nikifika tu home jion najipumzisha na hii series. mejifunza mengi sana kwa wenye moyo kama wangu huwezi kuona hii movie ukamsarit MTU. Lakini pia hata kabla ya kuiona sijawahi kumsalti MTU.
Petro hakujinyonga bali alikua Judah Iscariot so hapo umefeli mkuu
 
Correction, aliemsaliti Yes akajinyonga sio PETRO ni YUDA.
 
Nakusahihisha Yuda ndiye aliyemsaliti Yesu na kulipwa lkn akaishia kujinyonga.

Perto alimkana na baada ya jogoo kuwika mata tatu akakumbuka akaenda kulia sana na kutibu. Toka hapo alichagua kuhubiri injili bila woga hadi mauti ilipo mkuta
 
Chanteeee
 
Dear sister Kitanda usichokilalia hujui kunguni wake na Usihukumu kwa kuconclude usaliti unamtafuna zari, Hujui Ivan alimkosea au walikoseana nini zari mpaka zarina aanze kuangaika na Ivan asikubali ku move on!kumbuka sio kwamba alivotoka kwa Ivan akaja kwa Dai hell No, Huwenda yeye Ivan ndo dhambi ilikuwa inamtafuna well then by that tusiconclude maisha ya watu tusiyoyaishi kwa sababu hatuyajui

Noted. Ila ulichoandika na mm nimekiongelea. Tho thanx.
 
Halafu kwenye post kama hii unaweza kukuta wanawake zaidi ya 1000 wanaamini kila kitu lakini ukiwauliza ikiwa wao wameshawahi kwenda kwenye hiyo "Madale Guest House" utashangaa kukuta hakuna hata mmoja angalau aliyewahi kuigusa kwa nje hiyo guest let alone kuingia ndani!!!
Thinking critically![emoji122][emoji122][emoji122]
 
Back
Top Bottom