Zari amuumbua Hamisa Mobeto, aanika Live uchafu wake na Diamond

Kwel apo kamuanika mondi kua anafanya uchafu mpk ndani kwake. Sema kibao kimemrudia. Diamond ni mshenzi wa tabia au kisa mama ake alinyanyaswa na baba ake na yy analipiza kisasi kwa wanawake wote anaotembea nao.
 
Sikatai it can both be possible but dont jump into conclusion ndio shida yetu wabongo...na ndio maana tunafeli hatuwazi mara mbili...status kaandika na picha kaweka hizo HERENI tu not picha ya hamisa...wana instagram ndio wameziunganisha picha za heren na hamisa kucompare...dont trust anything u seee [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] ona sasa mpk hapo ushachotwa
 
Bora wema wangu kashavunja team. Hapa wangesema team wema. Thanks Wema 4 that decision. Leave ur lifestyle achana na kiki.
 
Kwel apo kamuanika mondi kua anafanya uchafu mpk ndani kwake. Sema kibao kimemrudia. Diamond ni mshenzi wa tabia au kisa mama ake alinyanyaswa na baba ake na yy analipiza kisasi kwa wanawake wote anaotembea nao.
Diamond nayeye ni punguani tuu kama Heaven Sent anavyowaita wanaume Wa aina hii
 
Nyimbo ilishakiki kabla ata ya hizo hereni. Kwanza hapo wa2 watadiscuss wimbo au hereni???
 
Ni kweli Diamond anatembea na huyu dada na amempangia nyumba hapa jirani yetu..Namuonaga Diamond anakujaga kwa siri akiwa na baunsa wake
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

mahusiano km mama na wifi hawakutaki utajuta kuzaliwa haswa familia zetu za kiswahili
Kabiiisaaa mpenzi....binadamu sisi ni waajabu...km umeolewa ndio utajua yn wanaona km kaka yao anapata nini sijui...ndio maana maandiko yalisema mtu ataacha bb yake na mama yk na ataambatana na mkewe nao watakua mwili mmoja(for those who are married m not talkng abt zari and dai in this..since they are not married)[emoji13] [emoji13] but kitraditional zari ni mkewe since wana two kids[emoji12]
 
Its not a matter of jumping into conclusion, jana ungenkua na namba ya Mondi ungekubali. Hoja yangu hapa yeye kama kipenzi cha zari angezificha, angemuomba msamaha, au angeongeana nduguze kama ndo wameweka. Just use ur IQ then make connection.
 
Diamond nayeye ni punguani tuu kama Heaven Sent anavyowaita wanaume Wa aina hii
Me ndo maana nawaambiaga "wake", mumeo akichepuka please please inauma but jitahid urelax kwanza. Usideal na mchepuko kabisa, coz kwa mchepuko utaishia tu kupatwa na kichaa cha ndoa. Ona zari anavyohangaika na mimba yake, si kuweka maisha yake na ya mwanae hatarini, hapana jamani.
 
Anawaletea at least mumsaidie kumsema simba.....

Kumbe ndio mna mpa kichwa simba, et hamisa mzuri....
Teh Teh.
Amejidhalilisha,
Mwishowe atapost picha wakiwa wana do akizani anamkomoa mtu.
 
Kwel apo kamuanika mondi kua anafanya uchafu mpk ndani kwake. Sema kibao kimemrudia. Diamond ni mshenzi wa tabia au kisa mama ake alinyanyaswa na baba ake na yy analipiza kisasi kwa wanawake wote anaotembea nao.
Hahahaha ...umalaya uko kwa damu wewe...baba mama...mtoto atapona lol
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

mahusiano km mama na wifi hawakutaki utajuta kuzaliwa haswa familia zetu za kiswahili
Afu unaweza kuta pia wifi na mama mkwe hata hawahusiki. Ukitombi wa Dai tu, kule kwa Huddah mama ake ndo alimpeleka pia? Yeye mwenyewe public pizza
 
Its not a matter of jumping into conclusion, jana ungenkua na namba ya Mondi ungekubali. Hoja yangu hapa yeye kama kipenzi cha zari angezificha, angemuomba msamaha, au angeongeana nduguze kama ndo wameweka. Just use ur IQ then make connection.
We all know nothing...walengwa ndio wanajua..hamisa ..dai ..na zari..
 
Nyimbo ilishakiki kabla ata ya hizo hereni. Kwanza hapo wa2 watadiscuss wimbo au hereni???
wata discuss herni maana wanawake wengi wanapenda mwanamke mwingine akiingilia mahusiano ya watu, hizi type ndio zipo kwenye familia ya modi, maana hata wakati wanarekodi huu wimbo picha zilivujishwa kuwa wana date na wamelala wote mpaka tukaoneshwa vitu vilivyoahwa kwenye kiti vitu vya hamisa na mondi, so huu ndi muendelezo wa kiki za kijinga, hata zari anajua hakuna uhusiano basi tu vile nae ameshindwa kujitambua.
 
Mi kwakweli na deal na mume...hao vichechede watahdithiwa tu na huyo bwana yao kilichomkuta...mana mume anajua ana mke why atoke...
 
Yaah!!ndugu wa mume bwana wa kuishi nao kwa step haswaa!!

Tatizo la zari anashindana nao bad enough diamond huwezi mtenganisha na mama ake!
Mondi ni mama's boy!!

Yy zari angekua mpole tu angepiga kimya tu!

Siku zote mwisho wa ubaya aibu!

Kingine Zari apunguza dharau mama wa mumeo au mpenzi wako mheshimu km mzazi wako

Usigombane nae au kumfumbiafumbia mafumbo!!

We hata akikuchokoa kaa kimya tu watu wakwe zetu wanatupenda mpk kesho sio kwa kua tuna pesa hapana!!

Kujinyenyekeza ndo kila kitu,Ila sasa wadada wa IG wanataka kushindana na na mama mkwe!
 
Inataka moyo wa chuma kwakwel. Mtu unaweza ukaroga isisimame kny K nyingine [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…