Mrs Van
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 7,416
- 16,603
Kwel apo kamuanika mondi kua anafanya uchafu mpk ndani kwake. Sema kibao kimemrudia. Diamond ni mshenzi wa tabia au kisa mama ake alinyanyaswa na baba ake na yy analipiza kisasi kwa wanawake wote anaotembea nao.Wanawake wengi hawampendi zari, hawapendi kumuona zari na platinum
Wanafanya kila aina ya hila kuhakikisha diamond anamwacha zari
Kama hereni zimekutwa room Basi wakulaumiwa ni platinum kwa uhuni....
Lakini anatukanwa zari,
Huenda zari Alisha chukua hatua dhidi ya uhun Wa simba, labda hatua hazikuzaa matunda,
Anachokifanya sasa ni kutafuta huruma za fans, na kumuaibisha simba at least akili irudi,
Kumbe anajisumbua, zaidi ya kuambulia matus