[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Afu unaweza kuta pia wifi na mama mkwe hata hawahusiki. Ukitombi wa Dai tu, kule kwa Huddah mama ake ndo alimpeleka pia? Yeye mwenyewe public pizza
Hyo mbona IPO nenda Sumbawanga na kuna ile ya mke akitaka kuchepuka Jamaa dudu lake linasinyaaa NDOA NomaaaInataka moyo wa chuma kwakwel. Mtu unaweza ukaroga isisimame kny K nyingine [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Zari yupo kwenye frustration saaana, yaan paka ameshindwa kuji handle na vile mjamzito sasa....Me ndo maana nawaambiaga "wake", mumeo akichepuka please please inauma but jitahid urelax kwanza. Usideal na mchepuko kabisa, coz kwa mchepuko utaishia tu kupatwa na kichaa cha ndoa. Ona zari anavyohangaika na mimba yake, si kuweka maisha yake na ya mwanae hatarini, hapana jamani.
Alafu wengine wanasema nikiki ya wimbo mpya lakini wimbo already uko mtaani kwote kila ukipita hadi uchochoroni. The problem is Dai himself. Simlaum zari lazima apanik kama kipindi kile yeye alikua anaingia wema anatoka wema alipanic sana. So the reverse is trueWe all know nothing...walengwa ndio wanajua..hamisa ..dai ..na zari..
Kwa kweli angebaki tu kwake atulie alee mimba yake salama, atarushiana maneno na wangapi?. Na michepuko ikiamua kumjibu si atadondoka kwa presha. Juzi tu kala kichambo kwa huddah, asije pata presha bureMi kwakweli na deal na mume...hao vichechede watahdithiwa tu na huyo bwana yao kilichomkuta...mana mume anajua ana mke why atoke...
Yeah zari alitakiwa asishindane na mama especially mpk mtandaoni alitakiwa amdharau na apige kimya....ampe heshima ht ya kinafiki...sometym ukijifanya mjinga sio vibayaYaah!!ndugu wa mume bwana wa kuishi nao kwa step haswaa!!
Tatizo la zari anashindana nao bad enough diamond huwezi mtenganisha na mama ake!
Mondi ni mama's boy!!
Yy zari angekua mpole tu angepiga kimya tu!
Siku zote mwisho wa ubaya aibu!
Kingine Zari apunguza dharau mama wa mumeo au mpenzi wako mheshimu km mzazi wako
Usigombane nae au kumfumbiafumbia mafumbo!!
We hata akikuchokoa kaa kimya tu watu wakwe zetu wanatupenda mpk kesho sio kwa kua tuna pesa hapana!!
Kujinyenyekeza ndo kila kitu,Ila sasa wadada wa IG wanataka kushindana na na mama mkwe!
AAA wapi ya nini kuroga dear?! bure isisimame milele ndio inauma sana ku ku share ila unakuwa ukimuongelesha kwa upole tu abadile na kupiga goti kwa Mungu ili ambadilishe, ila ukianza kuwaweka hadharani wezi wako, au kudai talaka mbona utaumia zaidi maana hakuna perfect kabisa kila mwanaume ana yake, ila kuna kipindi anachoka tu, ukianza talaka utakuwa kama Dida shaibu kila siku ndoa yeye talaka yeye.Inataka moyo wa chuma kwakwel. Mtu unaweza ukaroga isisimame kny K nyingine [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaha umalaya hulka, ila kuna forced conditions pia....sometimes hatujui dai anachangamoto zipi zinamfanya aruke ruke[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Dai yule umalaya ni hulka yake!
Haachi Leo wala kesho!
Ila Zari mvumilivu!
Me siwalaumu hao mapaka shume, watu wanatembea na waume za watu, itakuwa baby daddy wa mtu. Mbaya wa zari ni Dai period. Watu wanaona fursa kwa Dai, na aombe tu hiyo michepuko isije ikabeba mimba na yenyeweZari yupo kwenye frustration saaana, yaan paka ameshindwa kuji handle na vile mjamzito sasa....
Hapo ndipo tatizo lilipo....ifikie hatua akubali tuu ukweli kwamba simba sio mwanaume wake peke yake.
Kuna mipaka shumekibao inalala ikomba zari aachwe, wachukue nafasi...
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] akalee wanae kimya kimyaa tena ht social network asiwatupie...wakue wakubwa km kweli dai anamfanyia hivi bibie...dunia itasema naeKwa kweli angebaki tu kwake atulie alee mimba yake salama, atarushiana maneno na wangapi?. Na michepuko ikiamua kumjibu si atadondoka kwa presha. Juzi tu kala kichambo kwa huddah, asije pata presha bure
Ndo aamue kuwa ataendelea kuvumilia umalaya wa Dai au asepe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Dai yule umalaya ni hulka yake!
Haachi Leo wala kesho!
Ila Zari mvumilivu!
Diamond ndio wa kulaumiwa hapa..km ana cheat c acheat kimya kimya ....mjinga kbsa yani...tatizo pia linakuja una cheat na naniii....anaocheat nao ndio hao wapenda kick..wt nextAlafu wengine wanasema nikiki ya wimbo mpya lakini wimbo already uko mtaani kwote kila ukipita hadi uchochoroni. The problem is Dai himself. Simlaum zari lazima apanik kama kipindi kile yeye alikua anaingia wema anatoka wema alipanic sana. So the reverse is true
Yule anataka kuonyesha yy ndo mwamba ndo anaposhindana na ukuta hapo!Yeah zari alitakiwa asishindane na mama especially mpk mtandaoni alitakiwa amdharau na apige kimya....ampe heshima ht ya kinafiki...sometym ukijifanya mjinga sio vibaya
Yn mimi ningekua huyu zari...vituko vyote hivi..nimgesepa na watoto wangu asiwaone mileleeee....wakikua nao waje wamnyanyase baba yao km nae anavyonlipizia baba yake mabaya...
Atavumilia si anataka ustaa mavi!!Ndo aamue kuwa ataendelea kuvumilia umalaya wa Dai au asepe
Umeongea point mno hapo juu. Ila tu asiwatenganishe watoto na baba yao bana. Pamoja na yote, Dai anampenda na kumjali sana tiffah (ingawa akifanya hivyo, Dai akili itamkaa kidogo lol)Yeah zari alitakiwa asishindane na mama especially mpk mtandaoni alitakiwa amdharau na apige kimya....ampe heshima ht ya kinafiki...sometym ukijifanya mjinga sio vibaya
Yn mimi ningekua huyu zari...vituko vyote hivi..nimgesepa na watoto wangu asiwaone mileleeee....wakikua nao waje wamnyanyase baba yao km nae anavyonlipizia baba yake mabaya...
Kweli jamani. Zari amekuwa kama MC wa vigodoro kisa Dai. Mbona alikuwa mdada wa kujiheshimau, anajitambua, bosslady haswa!!!. Ila anapoelekea now mmh sijui[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] akalee wanae kimya kimyaa tena ht social network asiwatupie...wakue wakubwa km kweli dai anamfanyia hivi bibie...dunia itasema nae
Yn mimi km nna uwezo wa kulea wtt wangu aisee mwanaume uninyanyasi why?? Nife kisa mwanaume hahaha hapaanaa
That's why sometimes nasema Dai anawezana na Wema tu. Huenda Wema aliona mengi lakini alifundwa yanaishia chumbani na pia anapunguza stress kwakutafta madanga. Sasa sisi huku tunamsema vibaya kwamba anamuonea Domo.Diamond ndio wa kulaumiwa hapa..km ana cheat c acheat kimya kimya ....mjinga kbsa yani...tatizo pia linakuja una cheat na naniii....anaocheat nao ndio hao wapenda kick..wt next
Sio wafrica tu si unaona Jolie kamzalia Brat watoto lakini amemcheat.Waume wa ki Africa hawajali hyo unaweza ukamzalia wee na Ku cheat akazidisha yaani tabu kweli kweli.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] tehe ikitokea hivvyo wanawake Wa kibongo ninavyo wajua faster atahamia madale na kujimilikisha kila kituMe siwalaumu hao mapaka shume, watu wanatembea na waume za watu, itakuwa baby daddy wa mtu. Mbaya wa zari ni Dai period. Watu wanaona fursa kwa Dai, na aombe tu hiyo michepuko isije ikabeba mimba na yenyewe