Douta, hebu nipe ufafanuzi wa huu uhusiano wa Diamond na Zari ili na mimi nikeep up na hii thread, hasa kwa kunifafanulia haya:-
1. a) Zari akiwa South huwa anakaa wapi? Make kuna siku niliwahi kuona posts za yeye yuko swimming pool ambayo Ivan pia alipost akiwa hapo (
Evelyn Salt alituwekea humu kama sijasahau).
b) Kama jibu la hapo juu ni ndiyo, je huwa analala chumba cha peke yake au wanachangia chumba na Ivan?
Kama jibu la a) ni hapana, basi swali b) halina nafasi.
2. Birthday ya Tiffah (Mtoto wa Taifa) ilifanywa ya upande mmoja tu, wa mama, na kwenye hii Birthday inaonekana Ivan alishiriki bega kwa bega na alitoa hadi zawadi, na Zari alimpost Ivan.
Sasa je, nini kilimtatiza Diamond kusafiri au Mama Tiffah kumleta mtoto kwenye Birthday Party ya huku Dar?
3. Zari anaweza kukaa South kwa muda wa zaidi ya miezi hata miwili bila D kukutana naye, je D aendelee kuwa anadubiri?