hmmm utapigwa mawe subiriMngekua mnachangia na topic zinazohusu kulipishwa tanesco, kulipishwa ving'amuzi etc, walahi hii nchi ingekua mbali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hmmm utapigwa mawe subiriMngekua mnachangia na topic zinazohusu kulipishwa tanesco, kulipishwa ving'amuzi etc, walahi hii nchi ingekua mbali.
Ivan Na Zari wametengana ila wanashirikiana vizuri kwa ajili ya watoto wao+ ni business partners sijui. Ivan alimpa zawadi tiffah kama tu mwanae I guess. Mbona diamond huwa anawapost boys wa zari pia?? Kwa kweli mahusiano ya hawa watatu nafikiri wanayaelewa wenyewe vizuri, maana kumuona "mkeo" close hivyo na baby daddy wake, wanaume wa bongo hawaelewagi hilo
Teh hapo ni pagumu honestly, wana agreement zao nafikiri. Tuwaache tu, muda utasemaHapa nadhani siyo wanaume wa Bongo tu aisee, yaani mtu akae South miezi miwili, kwenye nyumba ambayo huyo baby daddy anakaa halafu utamu usikutanishwe?
Anyway, tuchukulie kwamba labda ni wasiwasi wangu tu, huwa utamu haukutanishwi, kuna kipindi D alisafiri kwenda South akasema amefikia kwenye nyumba yao (tuliambiwa eti D aliinunua kwa ajili ya mwanae), I expected kuona Mama Tiffah akiishi hapo in case akiwa South, lakini inaonekana sivyo.
Mi huwa nakaa nafikiria kuwa uhusiano wa D-Zari-Ivan uko on mutual benefit, so I don't take them serious, na hii mimba ya Zari hata sina uhakika kama ni ya D au Ivan, hata kale katoto sijui kama ni ka D kweli ingawa watu wanasema eti kana domo kama la D etc etc.
All in All, D ni msanii mkubwa, maisha yake lazima tuyafuatilie sisi washabiki.
Teh hapo ni pagumu honestly, wana agreement zao nafikiri. Tuwaache tu, muda utasema
Utakufa nacho KIJIBA CHA ROHO
ha! ha! ha! Wagoroko maana yake nini mkuuHao jamaa wagoroko sana wanatoa nyimbo mbaya wakiona zinabuma wanaanza kutengeneza kiki za kipumbavu Kama hizo!
we jamaa ni great thinker mashabiki wengi wa huyu jamaa ni mahaba niuwe na jamaa anatumia advantage hiyo kutimiza malengo yake.Ndio maana sasahivi hawez kutoa audio bila video coz audio za jamaa ni kama moto wa kifuu unawaka faster na kuwahi kuzimika so utasikia da vedio kali na ili aendeleee kuwa midomoni mwa watu ndio kiki kila siku! Nawatu wanaamini hizo fix!Hao jamaa wagoroko sana wanatoa nyimbo mbaya wakiona zinabuma wanaanza kutengeneza kiki za kipumbavu Kama hizo!
Umeonaa eeeh .SEMA UKIZIANGALIA VIZURI NI KAMA ZA MAVOKO VILE![]()
Mm naona anamdhalilisha zari insteadSi anataka kumdhalilisha Malaya hamisa, huyo hamisa Malaya mchafu ndio maana majizo kamuachs
Awa nn hahaaaZaweza kuwa za mobeto pia ila zikachomekwa ndn...adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie.esma na mamake wanataka dai awat.....e wao...siwaamini wale
Acha hizo binamu kwani Hamisa ye ndo wa kwanza kuachwa?[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]Si anataka kumdhalilisha Malaya hamisa, huyo hamisa Malaya mchafu ndio maana majizo kamuachs
Binamu utamuwezaa....Mm naona anamdhalilisha zari instead
Heheheheh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Warumi hii kauli kweli au unatafuta tutoe yetu ya moyoni..!Maskini, sitaki kusikia haya mapenzi yanaenda kuisha, daah