BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
Tineja wa kamera 36,000??? Sio (360 tena)Watasema mnamuonea wivu bilionea zarina kazaa watoto wengi na bado mrembo ka tineja wa 16
Umemisika...Jealousy and envy?
kiswahili ndo tuseme 'wivu na 'husuda'?
au envy kwa kiswahili tunasemaje?
Umemisika...
Wabongo wakihusudu watakupambaaaa!!Jealousy and envy?
kiswahili ndo tuseme 'wivu na 'husuda'?
au envy kwa kiswahili tunasemaje?
Acha tuNipo mamii.....naogopa kesi za uchochezi hahaa
Acha tu
Kina kipindi mtu unatamani useme ila inabidi uvumilie
Tuhamie huku kwa macelebrity
Hakuna kesi za mil 7
Siunajua camera zinavo tu save plus mjaladio wa vibambino kuongeza chura mjini.Tineja wa kamera 36,000??? Sio (360 tena)
Labda tineja wa Botox
Karibu sana aiseeNdo maana umehamia huku kumbe....
itabidi tu nihamie huku taratiibu....
Wabongo tukiona magari na nyumba bas wewe bilionea wa level ya dangote kabisa. Na unaona wivu kwao.Utaambiwa wanashare na ivan...
Utadhani docs za kampuni wameziona
Halafu ile chura siku nyingine anasahau kuiweka????Siunajua camera zinavo tu save plus mjaladio wa vibambino kuongeza chura mjini.
Nyumba zenyewe za mortgage. ...hahahWabongo tukiona magari na nyumba bas wewe bilionea wa level ya dangote kabisa. Na unaona wivu kwao.
Nyie wanaume tukipiga umbeya mwaanza maneno oooh hatupendani chahhhhh nothing new under the sun jamani. Its just a matter of ubuyuokay mkuu
Yule bambino lake haliko real hamisa mwenyewe hujaladia ila huweka linaloendana na mwili wake. Haiwezekani huku juu mnene kiuno hakionekani chura haendani na miguu kabisa. Maana in real sense mwenyewe migui mine accumulation yake ya fat huishia kwrnye miguu tu. Mi ndo mana hushangaa chura ake kwa kweliHalafu ile chura siku nyingine anasahau kuiweka????
Hahah kama aliloweka siku anaenda sign mkataba wa vodaNyie wanaume tukipiga umbeya mwaanza maneno oooh hatupendani chahhhhh nothing new under the sun jamani. Its just a matter of ubuyu
Yule bambino lake haliko real hamisa mwenyewe hujaladia ila huweka linaloendana na mwili wake. Haiwezekani huku juu mnene kiuno hakionekani chura haendani na miguu kabisa. Maana in real sense mwenyewe migui mine accumulation yake ya fat huishia kwrnye miguu tu. Mi ndo mana hushangaa chura ake kwa kweli
H[emoji1] [emoji1] we jamaa acha izoo ina maan mavoko alitoa [emoji40] kwa modi au mond alitoa [emoji40] kwa mvokooSEMA UKIZIANGALIA VIZURI NI KAMA ZA MAVOKO VILE
Wanasahau kuwa kuzaa ni jambo la kawaida tangia kaleNdo utetezi wao huoo!!
Kuzaa sifa!!!
Anaaacha kufanya kazi anategemea child support!
Ndo husuda zenyewe wambeya tunazo kwa lebilionea le bossladyJealousy and envy?
kiswahili ndo tuseme 'wivu na 'husuda'?
au envy kwa kiswahili tunasemaje?
Teh teh na kuna watu wapenda ubuyu kweli ila wajifanya tu. Yani Leo na mood ya Ku comment JF sasa nitakuwa hater number mojaKwanza ubuyu unaongeza siku za kuishi...
Hahah kama aliloweka siku anaenda sign mkataba wa voda
a [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
HahahajTeh teh na kuna watu wapenda ubuyu kweli ila wajifanya tu. Yani Leo na mood ya Ku comment JF sasa nitakuwa hater number mojaView attachment 405009