Hamshindwiiiiii![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wambea wa mjini tupoo!!!
NimechekaSEMA UKIZIANGALIA VIZURI NI KAMA ZA MAVOKO VILE
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hamshindwiiiiii!
Haya chukua zawadi hii [emoji336]
haa haaSEMA UKIZIANGALIA VIZURI NI KAMA ZA MAVOKO VILE
Zari anatufanya tuamini kua diamond ana michepuko na wametqfuta hadi picha ya hamisa aliyovaa hiyo hereni ahahahuko vizuri binamu!!
Shikamoo Hamisaaa!
zari ndo mchepuko kwani ana ndoa na mond?Zari anatufanya tuamini kua diamond ana michepuko na wametqfuta hadi picha ya hamisa aliyovaa hiyo hereni ahahah
hahahahaha....kuna maneno km utam ww big G,lilitamba sana mwishoni mwa miaka ya 90 na mwanzoni mwa 2000 ama hakika hata mm limenikumbusha mbali.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hili neno wagoroko umenikumbusha longiiii
Kiki zinataftwa kwa nguvu siku hiziZari hivi yule mama anajiheshimu au kujielewa hata maana ya stara!
Uzee ule watoto wanne na mimba juu bado anatafuta cheap popularity.....
Asante Mungu kunifanya nijitambue japo sio msafi na mkamilifu!!!
Hivi wewe una app ya umbea?Heheheheh
Zari kakitombosha weeKelele za zari hazimzuii mond kumu cheat awe mpole wote michepuko na hawana ndoa
ahaaa ahaa kwa hiyo ndio ulitaka kusemeje?!SEMA UKIZIANGALIA VIZURI NI KAMA ZA MAVOKO VILE
ahahaa anashangaza walionuna kwani diamond ni nani wake eti?Zari kakitombosha wee
Leo anataka dai awe malaika!!
Nimekosea mwayaayzari ndo mchepuko kwani ana ndoa na mond?
Hapo chacha!ahahaa anashangaza walionuna kwani diamond ni nani wake eti?
ahaaa ahaa kwa hiyo ndio ulitaka kusemeje?!SEMA UKIZIANGALIA VIZURI NI KAMA ZA MAVOKO VILE
Ntakugaya ujue,heheehhe eti kakinuka utoko,ushawahi kuuona utoko!?Hivi wewe una app ya umbea?
Manake kwenye umbea wote hukosekani.
FisadiKuu mbona sijamwona hapa? Haujamtonya nini? Maana naye anavopenda umbea ndo maana mnaelewana naye sana na pia anaelewana na kale ka kinuka utoko [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]