Zari amuumbua Hamisa Mobeto, aanika Live uchafu wake na Diamond

Zari amuumbua Hamisa Mobeto, aanika Live uchafu wake na Diamond

SEMA UKIZIANGALIA VIZURI NI KAMA ZA MAVOKO VILE
rich-mavoko-imebaki-story.jpg
Nimecheka
 
Zari hivi yule mama anajiheshimu au kujielewa hata maana ya stara!

Uzee ule watoto wanne na mimba juu bado anatafuta cheap popularity.....

Asante Mungu kunifanya nijitambue japo sio msafi na mkamilifu!!!
Kiki zinataftwa kwa nguvu siku hizi
 
Heheheheh
Hivi wewe una app ya umbea?

Manake kwenye umbea wote hukosekani.

FisadiKuu mbona sijamwona hapa? Haujamtonya nini? Maana naye anavopenda umbea ndo maana mnaelewana naye sana na pia anaelewana na kale ka kinuka utoko [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ntakugaya ujue,heheehhe eti kakinuka utoko,ushawahi kuuona utoko!?
 
Back
Top Bottom