Zari amuumbua Hamisa Mobeto, aanika Live uchafu wake na Diamond

Ziwe cheap,ziwe uchafu.
Keshachapiwa mtu mzima achutame.
(Kama ni kweli lakini maana naona dalili za kutafuta kick)
Hahaaaa it hurt mno ila hamisa naye mkali kwa kiasi chake. Ndo washashare ubooo . naukute hapa zari anataka kiki maana kaona kasahaulika
 
Katika Biblia Amri ya sita inasema usiue sio usizini kama mlivyodanganywa na kudanganya.
 
Hii sio sekta yangu... Ukiniona kwenye haya majukwaa basi nakuja kutroll watu tu..

Sasa mimi niongelee hao sijui Mabetto niwajulie wapi
 
Apo zari ndo kajidhalilisha anafanya mambo hayaendan na umri wake wew mwanaume anakucheat live bado unang'ang'ania alaf hamisa mbona cku nying watu wanajua ni mchepuko wa diamond zari anashndwa kumuacha diamond coz anaogopa aibu na fedheha si alikua anajifanya anapendwa sana chezea diamond hehe
 
Hii sio sekta yangu... Ukiniona kwenye haya majukwaa basi nakuja kutroll watu tu..

Sasa mimi niongelee hao sijui Mabetto niwajulie wapi
Hmm...acha fiksi bana Fisadi....wewe yule shosti wako si huwa mnaitana hapa muende chemba mkapeane ubuyu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ila we jamaa mmbea sana. Nadhani ndo mwanaume mmbea kuliko wote JF[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…