Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
Waume wa ki Africa hawajali hyo unaweza ukamzalia wee na Ku cheat akazidisha yaani tabu kweli kweli.I can imagine mtu upo na mimba afu unajipa presha kiasi hiki, eish
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waume wa ki Africa hawajali hyo unaweza ukamzalia wee na Ku cheat akazidisha yaani tabu kweli kweli.I can imagine mtu upo na mimba afu unajipa presha kiasi hiki, eish
Hahaaaa it hurt mno ila hamisa naye mkali kwa kiasi chake. Ndo washashare ubooo . naukute hapa zari anataka kiki maana kaona kasahaulikaZiwe cheap,ziwe uchafu.
Keshachapiwa mtu mzima achutame.
(Kama ni kweli lakini maana naona dalili za kutafuta kick)
Katika Biblia Amri ya sita inasema usiue sio usizini kama mlivyodanganywa na kudanganya.Zile tetesi za muda mrefu kuhusu mwanamuziki Diamond Platnums pamoja model maarufu nchini, Hamisa mobeto aka Salome kuvunja amri ya sita huenda zikazaa matunda soon baada ya hivi karibuni mzazi mwenzie ,ambaye pia ni mpenzi wake wa sasa, Zari Hassan ambapo kupitia page yake ya snapchat amepost picha za hereni huku zikiwa zimeambata na ujumbe mzito, ambapo alimtaka mwenye hereni hizo cheap alizozisahau chumbani kwake akazichukue mara moja.
Hata hivo kwa mujibu wa wapenda umbea mjini aka team chambua kama karanga waliweza kuzichambua hereni hizo vizuri na kubaini kuwa zilishawahi kuvaliwa na mwanamitindo maarufu nchini Hamisa Mobetto(pichani) aka SALOME.
Huenda hii ikawa habari Kali kwa wiki hii, hata hivyo bado Zari hajafunguka chochote kuhusu mmliki wa hereni hizo, wala Hamisa bado hajazungumzia chochote kama ni kweli uchafu huo (kama alivyoita Zari) ni wake au sio
View attachment 404434
Nahisi tumekuelewa wachache humu.More details please kwa faida ya wasiooa na kuolewa.kwani zari ana chumba bongo? anazini muda wake ukiisha anakuja mwingine anazini hebu aache kelele
Hii sio sekta yangu... Ukiniona kwenye haya majukwaa basi nakuja kutroll watu tu..Hivi wewe una app ya umbea?
Manake kwenye umbea wote hukosekani.
FisadiKuu mbona sijamwona hapa? Haujamtonya nini? Maana naye anavopenda umbea ndo maana mnaelewana naye sana na pia anaelewana na kale ka kinuka utoko [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
kimenuka tenaHahaaaa it hurt mno ila hamisa naye mkali kwa kiasi chake. Ndo washashare ubooo . naukute hapa zari anataka kiki maana kaona kasahaulikaView attachment 404522
Kwan Bible limekuja toleo jipya wakabadili amri? kama ni ileile amri ya cta ni USIZINIKatika Biblia Amri ya sita inasema usiue sio usizini kama mlivyodanganywa na kudanganya.
Unajifanya GSM unatoa zawadi mbona hujafuturisha.Hamshindwiiiiii!
Haya chukua zawadi hii [emoji336]
[emoji23]Nimecheka
Au za manifongo?Uwez jua za nani wasafi wote wanavaa hereni
Naona Leo kiki inataftwa kinguvu walahkimenuka tena
keshakuwa kichaa ngoja mange aamkeNaona Leo kiki inataftwa kinguvu walah
Au TiffaAu za manifongo?
Hmm...acha fiksi bana Fisadi....wewe yule shosti wako si huwa mnaitana hapa muende chemba mkapeane ubuyu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hii sio sekta yangu... Ukiniona kwenye haya majukwaa basi nakuja kutroll watu tu..
Sasa mimi niongelee hao sijui Mabetto niwajulie wapi
Unamaanisha WCB wanabakisha faida nyumbani?SEMA UKIZIANGALIA VIZURI NI KAMA ZA MAVOKO VILE![]()
Kazi anayo na hyo mimba ka si kiki tu watu insta wanavopenda umbeya sasakeshakuwa kichaa ngoja mange aamke