Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
Penzi LA Serengeti boy limemchaganya chezeiya kukojoleshwa na kupigwa deki kwa bibi weeye.Huyu mama kila siku naona anazidi kuchanganyikiwa yeye atulie tu
Yawezekana...Hmm...acha fiksi bana Fisadi....wewe yule shosti wako si huwa mnaitana hapa muende chemba mkapeane ubuyu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ila we jamaa mmbea sana. Nadhani ndo mwanaume mmbea kuliko wote JF[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
ana dharau ila sijaelewa hapo my house zari ana nyumba bongo?Huyu mama kila siku naona anazidi kuchanganyikiwa yeye atulie tu
Na inaonekana jamaa si haba ndio maana anachunga hata visivyochungikaPenzi LA Serengeti boy limemchaganya chezeiya kukojoleshwa na kupigwa deki kwa bibi weeye.
Labda ndio kajimilikisha tayari ile ya madale[emoji1]ana dharau ila sijaelewa hapo my house zari ana nyumba bongo?
Sasa nyimbo ipi imebuma mkuu.. Au unaongea usichokijuaHao jamaa wagoroko sana wanatoa nyimbo mbaya wakiona zinabuma wanaanza kutengeneza kiki za kipumbavu Kama hizo!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Unajifanya GSM unatoa zawadi mbona hujafuturisha.
ahahaaa aya ngoja tuoneLabda ndio kajimilikisha tayari ile ya madale[emoji1]
Yawezekana...
Nimepitia posti yako ujumbe " neno kwa neno" naona kuna maneno ya Kiingereza yamekosewa, nikisoma posti nyingine ya Mange Kimambi naona maneno ya Kiingereza yameandikwa kwa usahihi zaidi. Hii inatia shaka kama kweli ujumbe huu unatoka kwa Zari au ni kuwa Zari maneno ya kawaida ya kila siku ya lugha ya Kiingereza yanamtatiza, kitu ambacho pia kinanipa shaka.Zile tetesi za muda mrefu kuhusu mwanamuziki Diamond Platnums pamoja model maarufu nchini, Hamisa mobeto aka Salome kuvunja amri ya sita huenda zikazaa matunda soon baada ya hivi karibuni mzazi mwenzie ,ambaye pia ni mpenzi wake wa sasa, Zari Hassan ambapo kupitia page yake ya snapchat amepost picha za hereni huku zikiwa zimeambata na ujumbe mzito, ambapo alimtaka mwenye hereni hizo cheap alizozisahau chumbani kwake akazichukue mara moja.
Hata hivo kwa mujibu wa wapenda umbea mjini aka team chambua kama karanga waliweza kuzichambua hereni hizo vizuri na kubaini kuwa zilishawahi kuvaliwa na mwanamitindo maarufu nchini Hamisa Mobetto(pichani) aka SALOME.
Huenda hii ikawa habari Kali kwa wiki hii, hata hivyo bado Zari hajafunguka chochote kuhusu mmliki wa hereni hizo, wala Hamisa bado hajazungumzia chochote kama ni kweli uchafu huo (kama alivyoita Zari) ni wake au sio
View attachment 404434
OkNimepitia posti yako ujumbe " neno kwa neno" naona kuna maneno ya Kiingereza yamekosewa, nikisoma posti nyingine Mange naona maneno ya Kiingereza yameandikwa kwa usahihi. Hii inatia shaka kama kweli ujumbe huu unatoka kwa Zari au ni kuwa Zari maneno ya kawaida ya kila siku ya lugha ya Kiingereza yanamtatiza, kitu ambacho pia kinanipa shaka.
Eti! Wameachana Brad na Angelina Jolie sembuse wao!kwani zari ana chumba bongo? anazini muda wake ukiisha anakuja mwingine anazini hebu aache kelele
Watu wamekalia umbea wajanja wanatengeza hela
labda!,kwamba!,pengine!,au!,vinginevyo!,kama vile!,ama!, inawaezekana kwamba rich alikuwa anabaashiwa na Mondi chumbani kwa bibieπππahaaa ahaa kwa hiyo ndio ulitaka kusemeje?!
Farkhina...mambo vipi?
Kule kwenye jukwaa letu pendwa [la maakuli] mbona sikuoni siku hizi...?