Zari amuumbua Hamisa Mobeto, aanika Live uchafu wake na Diamond

Zari amuumbua Hamisa Mobeto, aanika Live uchafu wake na Diamond

Hmm...acha fiksi bana Fisadi....wewe yule shosti wako si huwa mnaitana hapa muende chemba mkapeane ubuyu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ila we jamaa mmbea sana. Nadhani ndo mwanaume mmbea kuliko wote JF[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yawezekana...
 
Na humu kumbe kuna watu Bado mnabishanaga mambo ya Zari Na Domoli??? Chaaaa kweli kazi ipo
 
Yawezekana...

Yah man..ndo hivyo.

Punguza umbea.

Hiyo si sifa nzuri kwa mwanaume.

Kuanza kudadisi dadisi kuhusu wanaume wenzio ain't the business.

That's some sucker shit man.

Juzi hapa nimeona unashadadia kuhusu mboli ya mwanaume mwingine hadi kuna jamaa akakuhoji kulikoni.

Not a good look man.

Kama unataka kujua Ngabu anatoka na nani au anamla nani unaweza kuja kwangu moja kwa moja.

Sawa Mangi?

Deuces😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀.
 
Zile tetesi za muda mrefu kuhusu mwanamuziki Diamond Platnums pamoja model maarufu nchini, Hamisa mobeto aka Salome kuvunja amri ya sita huenda zikazaa matunda soon baada ya hivi karibuni mzazi mwenzie ,ambaye pia ni mpenzi wake wa sasa, Zari Hassan ambapo kupitia page yake ya snapchat amepost picha za hereni huku zikiwa zimeambata na ujumbe mzito, ambapo alimtaka mwenye hereni hizo cheap alizozisahau chumbani kwake akazichukue mara moja.

Hata hivo kwa mujibu wa wapenda umbea mjini aka team chambua kama karanga waliweza kuzichambua hereni hizo vizuri na kubaini kuwa zilishawahi kuvaliwa na mwanamitindo maarufu nchini Hamisa Mobetto(pichani) aka SALOME.

Huenda hii ikawa habari Kali kwa wiki hii, hata hivyo bado Zari hajafunguka chochote kuhusu mmliki wa hereni hizo, wala Hamisa bado hajazungumzia chochote kama ni kweli uchafu huo (kama alivyoita Zari) ni wake au sio

View attachment 404434
Nimepitia posti yako ujumbe " neno kwa neno" naona kuna maneno ya Kiingereza yamekosewa, nikisoma posti nyingine ya Mange Kimambi naona maneno ya Kiingereza yameandikwa kwa usahihi zaidi. Hii inatia shaka kama kweli ujumbe huu unatoka kwa Zari au ni kuwa Zari maneno ya kawaida ya kila siku ya lugha ya Kiingereza yanamtatiza, kitu ambacho pia kinanipa shaka.
 
Nimepitia posti yako ujumbe " neno kwa neno" naona kuna maneno ya Kiingereza yamekosewa, nikisoma posti nyingine Mange naona maneno ya Kiingereza yameandikwa kwa usahihi. Hii inatia shaka kama kweli ujumbe huu unatoka kwa Zari au ni kuwa Zari maneno ya kawaida ya kila siku ya lugha ya Kiingereza yanamtatiza, kitu ambacho pia kinanipa shaka.
Ok
 
Ivi lazima wakitoa wimbo uambatane na stunt kwenye social networks hawa jamaa hua wananiacha hoi hapo hii style inakera duh ifike time wasanii wetu wajiamini sio kila wimbo na hadithi za wanawake hapa ndio nakumbukaga collection zangu za Sugu na Juma Nature.
 
ahaaa ahaa kwa hiyo ndio ulitaka kusemeje?!
labda!,kwamba!,pengine!,au!,vinginevyo!,kama vile!,ama!, inawaezekana kwamba rich alikuwa anabaashiwa na Mondi chumbani kwa bibie😀🙂🙂
 
Back
Top Bottom