Zari amuumbua Hamisa Mobeto, aanika Live uchafu wake na Diamond

Zari amuumbua Hamisa Mobeto, aanika Live uchafu wake na Diamond

Hawa wanatafuta kick tu sioni cha maana hapo
Huto tu hereni ndio kutoana mapovu(wakati wasafi wote wanavaa hereni), ila huyu bibie anajua kuteka akili watu jamaniiii yani IG page za umbea zooote ishu hereni za hamisa
hajui kuwa hamisa ananufaika sna na hio kik
 
SEMA UKIZIANGALIA VIZURI NI KAMA ZA MAVOKO VILE
rich-mavoko-imebaki-story.jpg
Qwi Qwi Qwi..... umetisha mkuu, madhani ifike muda vijana wa kitz waache kuvaa hereni kama Dadazao.
 
Hmm...acha fiksi bana Fisadi....wewe yule shosti wako si huwa mnaitana hapa muende chemba mkapeane ubuyu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ila we jamaa mmbea sana. Nadhani ndo mwanaume mmbea kuliko wote JF[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ahahahahahahahahaha
 
We nawe mmbea kwelikweli.

Hata hicho kicheko chako cha kiumbeaumbea tu.

Haya kalale ukue.

Au unataka dudu ya M......P?

Hivi huyo M......P ndo nani wewe?
Umeanza mawivu yakooooo ,wasukuma kwa wivu kaaa
Umbea upo damuni,m.....p hata mi simjui
 
Umeanza mawivu yakooooo ,wasukuma kwa wivu kaaa
Umbea upo damuni,m.....p hata mi simjui
Kwa hiyo ulitunga tu ile mada?

Halafu nione wivu kwani mi mumeo?

Au una hamu ya kuwa Mrs. Ngabu wewe?

Nikupeleke USA [emoji23] [emoji23] [emoji23].

Ningemtaja mshikaji...yule kiboko yako sema nakuonea huruma usije lia bure.
 
Ahahahahahahahahahh
Mrs Ngabu si yupo katulia tulia
Halaf unampenda huyo mshikajiii
 
Yupo tu ntakupa ubuyu we si una totozi laki
Unipe ubuyu kwani mi nimekuwa FisadiKuu?

Ubuyu mpelekee huyo shosti wako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Unipe ubuyu kwani mi nimekuwa FisadiKuu?

Ubuyu mpelekee huyo shosti wako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Lekaga shii lolo ole nfumu
 
I'll never fight over a man especially mwanaume asiyeniheshimu. Mwenye tatizo hapo ni Dai na Sio hao wanawake wengine. Kama hawezi kujiheshimu na kujichunga dhidi ya wanawake, wewe ndo utamchunga?. Afu anajidhalilisha tu mwenyewe mwisho wa siku, na kuthibitisha tu kuwa bwana ake ni kitombi eishhhh
Kwahiyo usinililie tenaaaa
 
Back
Top Bottom