Ume
Nikumbusha University of wanywagongo, Mange alikuwa anaumia ila ndo amfanyeje Kichwapanzi
Unajua ni vile tu sijapata muda ninge msearch kwenye hicho chuo chake mbona ningeona alichosomea kinachomfanya akose kazi takribani miaka 10 sasa[emoji23]
Kimange bana kina wivu hadi basi, hayo maisha ya zari wengi tunayatamani hata robo ila ndo twaishia kuyaona insta....da mange hajajibu tu k yake imempa nini?
Siyo level yake kwa sababu Zari hajatelekeza watoto wake anawalea mwenyewe. Yule binti mweusi aliyemkimbia mama shauri ya beef na watu anaishije? Kwa shangazi mama anabully waliomzidi kimaisha IG. Hayo ya umri ilikuwa fitina za wabongo baada ya kusikia ameandaliwa Birthday London na Kingbae. Mkatuma pass fake ili asulubiwe. Mange na East original ni bitter loser lonely women. Cheo cha lady hawana.Ooh waaow mada hii umesahau mlimripoti kabeba madawa ya kulevya
Kamchoka jamani. Kila siku kumharashia tuu, utazani hiyo nyumba ya south ni Lowrey!Daah mnatia huruma kajiaibishaje sasa
[emoji23][emoji23][emoji23] kama angesomea education angekua hata mwalimu wa kiswahili huko marekani, sijui kasomea nn jamani hivi kuna mtu yyte yule anajua anieleweshe
Anakaa kwenu US?Huo ukaka na domo umeanzia wapi? Kama akina esma na midomo yote ile wamemshindwa zari sembuse kigagula ambaye Hana makazi US?
Binamu please please ebu tufanyie hyo kazi , maana hata Mimi sielewi chuo cha bibi kigagula, hata bundle ntakupa ebu tuletee mafile
Mi ngoja nianze kutafuta mpaka Ma lecture wake uko dubai , mxiee tutamnyoosha, haiwezekan asome halafu kazi hana, au alinunua cheti huyu
Kuna tofauti ya kusoma na kuelimika na pia kuelewa.
Kuna tofauti ya kuwa na maarifa na kuyatumia maarifa
Anesomea nini sasa maana kukaa miaka 10 bila kupata kazi nayo ni kazi.
Nilikuwa sijafahamu kumbe kapuku tu πππ fanya mpango nikuone kama unavigezo angalau vya Tunda nikupe dummy utamu utoke naeShoga yangu ebu rekebisha kauli, sio unatamani, tunatamani, ata warumi mie napenda kumiliki nyumba south na kuendesha Ferrari , bibie akiona zari Ana slay insta anajisikia kuharisha, anakumbukia Enzo zake za dubai π€£π€£π€£π€£π€£
Binamu nimekupenda bure umetoa ya moyoni, zari anaishi bwana na wote tunatamani maisha yake , unadhan kuhongwa ghorofa mchezo , mxiew
Sijui, ila huenda kasoma ila hajui afanye nn na elimu yake maana kuachwa ghafla na mzungu ni bonge la surprise aisee
Itakua kitu alichosomea inabidi ufanye kazi kule kule nje ya Dubai hakina dili...Kama angesomea Nurse, marketing, procurement, Account etc. Asingekosa kazi ila utakuta amesoma course za kuchanganya makombe[emoji23] sasa wazungu mambo hayo hawana
si imekusaidia kukojoa?Nawaza tuu hapa k yangu mpaka sasa imenisaidia nini?[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Kuna watu K zao zina tabu, kama ndiyo kila kitu kimetokana na K daaaah.
Siyo level yake kwa sababu Zari hajatelekeza watoto wake anawalea mwenyewe. Yule binti mweusi aliyemkimbia mama shauri ya beef na watu anaishije? Kwa shangazi mama anabully waliomzidi kimaisha IG. Hayo ya umri ilikuwa fitina za wabongo baada ya kusikia ameandaliwa Birthday London na Kingbae. Mkatuma pass fake ili asulubiwe. Mange na East original ni bitter loser lonely women. Cheo cha lady hawana.
Itakua kitu alichosomea inabidi ufanye kazi kule kule nje ya Dubai hakina dili...Kama angesomea Nurse, marketing, procurement, Account etc. Asingekosa kazi ila utakuta amesoma course za kuchanganya makombe[emoji23] sasa wazungu mambo hayo hawana