Zari Amvaa Mange Kimambi..

Zari Amvaa Mange Kimambi..

Ume
Nikumbusha University of wanywagongo, Mange alikuwa anaumia ila ndo amfanyeje Kichwapanzi

[emoji23][emoji23][emoji23] kama angesomea education angekua hata mwalimu wa kiswahili huko marekani, sijui kasomea nn jamani hivi kuna mtu yyte yule anajua anieleweshe
 
Unajua ni vile tu sijapata muda ninge msearch kwenye hicho chuo chake mbona ningeona alichosomea kinachomfanya akose kazi takribani miaka 10 sasa[emoji23]

Binamu please please ebu tufanyie hyo kazi , maana hata Mimi sielewi chuo cha bibi kigagula, hata bundle ntakupa ebu tuletee mafile

Mi ngoja nianze kutafuta mpaka Ma lecture wake uko dubai , mxiee tutamnyoosha, haiwezekan asome halafu kazi hana, au alinunua cheti huyu
 
Kimange bana kina wivu hadi basi, hayo maisha ya zari wengi tunayatamani hata robo ila ndo twaishia kuyaona insta....da mange hajajibu tu k yake imempa nini?

Shoga yangu ebu rekebisha kauli, sio unatamani, tunatamani, ata warumi mie napenda kumiliki nyumba south na kuendesha Ferrari , bibie akiona zari Ana slay insta anajisikia kuharisha, anakumbukia Enzo zake za dubai 🤣🤣🤣🤣🤣

Binamu nimekupenda bure umetoa ya moyoni, zari anaishi bwana na wote tunatamani maisha yake , unadhan kuhongwa ghorofa mchezo , mxiew
 
Ooh waaow mada hii umesahau mlimripoti kabeba madawa ya kulevya
Siyo level yake kwa sababu Zari hajatelekeza watoto wake anawalea mwenyewe. Yule binti mweusi aliyemkimbia mama shauri ya beef na watu anaishije? Kwa shangazi mama anabully waliomzidi kimaisha IG. Hayo ya umri ilikuwa fitina za wabongo baada ya kusikia ameandaliwa Birthday London na Kingbae. Mkatuma pass fake ili asulubiwe. Mange na East original ni bitter loser lonely women. Cheo cha lady hawana.
 
Msomi Mange aache kubishana na vilaza ..[emoji41][emoji41]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] kama angesomea education angekua hata mwalimu wa kiswahili huko marekani, sijui kasomea nn jamani hivi kuna mtu yyte yule anajua anieleweshe

Kuna tofauti ya kusoma na kuelimika na pia kuelewa.

Kuna tofauti ya kuwa na maarifa na kuyatumia maarifa
 
Binamu please please ebu tufanyie hyo kazi , maana hata Mimi sielewi chuo cha bibi kigagula, hata bundle ntakupa ebu tuletee mafile

Mi ngoja nianze kutafuta mpaka Ma lecture wake uko dubai , mxiee tutamnyoosha, haiwezekan asome halafu kazi hana, au alinunua cheti huyu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tar 1 siendi kibaruan ngoja nitulie mtandaoni
 
Anesomea nini sasa maana kukaa miaka 10 bila kupata kazi nayo ni kazi.

Sijui, ila huenda kasoma ila hajui afanye nn na elimu yake maana kuachwa ghafla na mzungu ni bonge la surprise aisee
 
Shoga yangu ebu rekebisha kauli, sio unatamani, tunatamani, ata warumi mie napenda kumiliki nyumba south na kuendesha Ferrari , bibie akiona zari Ana slay insta anajisikia kuharisha, anakumbukia Enzo zake za dubai 🤣🤣🤣🤣🤣
Binamu nimekupenda bure umetoa ya moyoni, zari anaishi bwana na wote tunatamani maisha yake , unadhan kuhongwa ghorofa mchezo , mxiew
Nilikuwa sijafahamu kumbe kapuku tu 😝😝😝 fanya mpango nikuone kama unavigezo angalau vya Tunda nikupe dummy utamu utoke nae
 
Sijui, ila huenda kasoma ila hajui afanye nn na elimu yake maana kuachwa ghafla na mzungu ni bonge la surprise aisee

Itakua kitu alichosomea inabidi ufanye kazi kule kule nje ya Dubai hakina dili...Kama angesomea Nurse, marketing, procurement, Account etc. Asingekosa kazi ila utakuta amesoma course za kuchanganya makombe[emoji23] sasa wazungu mambo hayo hawana
 
Una maneno na wewe. Kuchanganya makombe ni kozi gani? Au unataka mchambo wa Mange?
 
Ivi nyinyi mnaomsema mange na PHD yake nyinyi elimu zenu ndio zimeishia humu kuchambana na utimu alaf uyo zari asijifananishe na kina mark na jack ma maana hawana zero brain kama zake stupid bibi tukinao
 
Siyo level yake kwa sababu Zari hajatelekeza watoto wake anawalea mwenyewe. Yule binti mweusi aliyemkimbia mama shauri ya beef na watu anaishije? Kwa shangazi mama anabully waliomzidi kimaisha IG. Hayo ya umri ilikuwa fitina za wabongo baada ya kusikia ameandaliwa Birthday London na Kingbae. Mkatuma pass fake ili asulubiwe. Mange na East original ni bitter loser lonely women. Cheo cha lady hawana.

Hao wote ni mtu mmoja. Hapo ndio ushangae level ya ukichaa huyu dada aliyofikia. Anapost huku kitu kingine, halafu anajijibu mwenyewe. Ni kumhirumia tu, she is not okay kichwani.
 
Itakua kitu alichosomea inabidi ufanye kazi kule kule nje ya Dubai hakina dili...Kama angesomea Nurse, marketing, procurement, Account etc. Asingekosa kazi ila utakuta amesoma course za kuchanganya makombe[emoji23] sasa wazungu mambo hayo hawana

🤣🤣🤣🤣 wanazengo mmetisha
 
Back
Top Bottom