Zari Amvaa Mange Kimambi..


[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan ww acha tu unakumbuka alivyo tuongopea wamenunua mansion..? Unakumbuka handbag ya LV aliyokua anafanyia nayo mashauzi na kiatu chake kile CL....siku hizi kabaki kuringishia nywele tu[emoji23]
 
Jamani,Zari mlitaka asiolewe tena kisa nyumba ni ya Diamond???...eti ana.to...b..wa kwenye nyumba ya kaka...mlitaka akato.b.we kwenye nyasi msituni wakati nyumba ipo..lol.... ZARI usitoke humo..whether nyumba ni yako ama ya 'kaka'..lol

Mbona mwakitombile na yy alikua analala kwenye ile nyumba ya Ivan...mkuki kwa nguruwe[emoji23]
 
Unakumbuka ule uongo wa msako wa nyumba ya kupanga kutwa kudanganya na kupiga picha kwenye nyumba za watu.
 
Binamu chukua hii...hahahaaaa!
Hata zinalala Madame kwa bi sandra
 
Hahahaaaa....ahsante pitia kwa tarimo kunywa juice bili utalipa mwenyewe[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kama zari ananoga mbona diamond hajamuoa?

Au unamaanisha kunoga mitandaoni?

If that the case, that's too low dia

BTW zari is 50 diamond is 29 kama sikosei,

Je nani muoaji? Za kuambiwa changanya na zako my dia
 
Sasa kama ni mpuuzi, hana elimu na unagongwa na watu wa serikalini kwanini unapenda sana kumzungumzia?
 
Hahahah ilikuwa ni reception ya izo apartment,watu walijua kumuumbua na uongo wake nafikiri watu wengi wamemjua juzi juzi kupitia insta ndo maana wanashabikia ujinga wake hajui kuwa yeye ndo bingwa wa kufake life alafu awezi ku keep status ya fakezone
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan ww acha tu unakumbuka alivyo tuongopea wamenunua mansion..? Unakumbuka handbag ya LV aliyokua anafanyia nayo mashauzi na kiatu chake kile CL....siku hizi kabaki kuringishia nywele tu[emoji23]
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ na cream za bei mbaya tuliringishiwa tukaambiwa mashauzi yanataka pesa na power of 😸😸 ameolewa na mzungu kijana afu tajiri hawezi achwa kamwe na wana mpango wa kununua mansion few meters from Beverly Hills cha ajabu divorce yake alificha mwaka mzima wambeya wakamuumbua kuwa kaachika siku nyingi aache ku fake
 
Huyo mange kwa nini anashindwa kutafuta kazi akafanya? Elimu anayo watoto wapo shule kwa nini asifanye kazi. Miaka nenda miaka rudi yupo na zari tu. Mbona na yeye alikuwa mtu wa kujishauwa? Alikuwa akisema mashauzi yanataka pesa. Unakuwa na obsess na mtu mwisho unaonekana wewe ni chizi
 

Ni kweli kabisaaa wanamshabikia wamemfaham instagram wangekua tangu kipindi cha blog yake wasingekua na hamu nae mange kimavi ni fake sana hadi mwili ule kuna viungo sio vyake[emoji23][emoji23][emoji23] Pua amechonga, maziwa amebust, tutako nako kule kaongezamo[emoji38][emoji38][emoji38] ameshindwa kufanya surgery ya miguu yake tu[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…