Da Lu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2016
- 1,209
- 2,840
Ivi kweli dada wa taifa ana kwama wapi, nakumbuka enzi hizi anajishauwa mashauzi yataka pesa ameshindwa ku keep status sasa anamshambulia zari kuwa ana fake maisha wakati yeye ndo alikuwa bingwa wa kufake enzi za mashauzi yataka pesa muke ya muzungu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan ww acha tu unakumbuka alivyo tuongopea wamenunua mansion..? Unakumbuka handbag ya LV aliyokua anafanyia nayo mashauzi na kiatu chake kile CL....siku hizi kabaki kuringishia nywele tu[emoji23]