Zari amwambia Diamond "usinijaribu"

Zari amwambia Diamond "usinijaribu"

Donatila

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,772
Reaction score
22,598

Drama za sakata la Diamond na mwanamitindo Hamisa Mobetto limechukua sura mpya baada ya Zari kujibu mapigo katika mtandao wa Snapchat akionya asihusishwe.

Awali katika maelezo yake mwanamuziki Diamond amesema ameshazungumza na mpenzi wake huyo kuhusiana na mtoto aliyezaa na Hamisa na kwamba ameelewa na hakuna tatizo tena.

Wakati Diamond akiendelea na mahojiano katika kituo cha Clouds FM, Zari aliandika katika mtandao huo akisema: “Hahahaha unajidanganya, unasema uongo kuhusu mimi kujua kuhusu michepuko yako, malizana na balaa ulilolianzisha. Mimi kunyamaza haimaanishi ni mpumbavu. Kuwa makini na maneno yako.”

Aliendelea kuandika: “Inawezekana mimi ni mama wa watoto wako ndio maana nimeamua kunyamaza kimya. Labda ugoogle kuhusu ‘defamation of character law suit’, usinijaribu.”

Diamond alipoulizwa kuhusu kauli hizo amesema anamwelewa kwa kuwa kuna baadhi ya mambo hakumweleza na kwa mara ya kwanza huenda ameyasikia wakati huo.

Muungwana
 
atambue kuwa amezaa na Mvulana
 
Defamation of Character Law Suit.

Ngoja Nigugo
1505821304977.png
 
Mkuu mbona hiyo Defarmation of character law suit hukuitolea tafsiri kama maneno mengine
 
Yaani huyo mondi ingekua mimi ndo zari walai akija kuomba msamaha ananikuta getini nnapanga lilinolewa vilivyo kabisa au jambia la maana kabisa ningemtoa kichwa mara moja. mondi kaniboa sana na simshabikii tena
 
Yaani huyo mondi ni mbwaaaaaaa.....ingekua mimi ndo zari walai akija kuomba msamaha ananikuta getini nnapanga lilinolewa vilivyo kabisa au jambia la maana kabisa shenzi ningemtoa kichwa mara moja msiiiiiiewww mondi kaniboa sana na simshabikii tena mburulaaaa
Unatamani kuwa Zari?!
 
Ulitegemea mond atakua honest eenh ?? Honest is most expensive gift dont ever expect it from poor soul anaweza dimond now akawa ni rich but kumbuka origin yake hivi utegemee huyu mtoto wa madale awe honest kwa yule bibi haiwez kua
 
Yaani huyo mondi ni mbwaaaaaaa.....ingekua mimi ndo zari walai akija kuomba msamaha ananikuta getini nnapanga lilinolewa vilivyo kabisa au jambia la maana kabisa shenzi ningemtoa kichwa mara moja msiiiiiiewww mondi kaniboa sana na simshabikii tena mburulaaaa
Utakuwa team kiba weye hunololote tuachie simba wetu hata angefanyaje
 
Back
Top Bottom