Zari amwambia Diamond "usinijaribu"

Zari amwambia Diamond "usinijaribu"

Yaani huyo mondi ni mbwaaaaaaa.....ingekua mimi ndo zari walai akija kuomba msamaha ananikuta getini nnapanga lilinolewa vilivyo kabisa au jambia la maana kabisa shenzi ningemtoa kichwa mara moja msiiiiiiewww mondi kaniboa sana na simshabikii tena mburulaaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Diamond anakwisha sasa
Naye Akome ku date watu wazima/wakubwa zake. What he is doing ni sahihi kwa umri wake. Tho si halalishi, btw maneno yangu si sheria. Zari naye atulie alishakula ujana so asimlazimishe kaka watu kuanza kubehave as yuko 50,s while yupo katika age ambayo vijana wengi wanapitia anayopitia for them to grow up [emoji52]
 
Acha maneno yako ya shombo wewe ,kama wewe mwanamke masikini huna mbele wala nyuma unatakwa na wanaume itakuwa zari mwanamke anaejielewa kichwani... Ana biashara zake tofauti na nyie mategemezi mpaka dawa za meno....

FYI zari anaweza kumpata mwanaume anaejielewa zaidi ya Diamond ...
Sa si aende akajipatie..anatoka wap ku date vitoto...heee
 
Mambo bado yanaendelea?jamani mambo ya mapenzi waachie walio mapenzini. Hamjui zari ataambiwa nini na Chibude mpk akalainika. Muwaache
 
Yaani huyo mondi ni mbwaaaaaaa.....ingekua mimi ndo zari walai akija kuomba msamaha ananikuta getini nnapanga lilinolewa vilivyo kabisa au jambia la maana kabisa shenzi ningemtoa kichwa mara moja msiiiiiiewww mondi kaniboa sana na simshabikii tena mburulaaaa
Mmhhh
 
Bongo bana, unakuta mtu mgogoro wa mondi unamsumbua anasahau km anaibiwa hukoo
 
Yaani huyo mondi ni mbwaaaaaaa.....ingekua mimi ndo zari walai akija kuomba msamaha ananikuta getini nnapanga lilinolewa vilivyo kabisa au jambia la maana kabisa shenzi ningemtoa kichwa mara moja msiiiiiiewww mondi kaniboa sana na simshabikii tena mburulaaaa
Mmmh unaweza kuta unatamani kilionja dyudyu la Mondi....huna lolote....unajua anawafanya vipi mpaka waelemewe kimahaba kwake?
 
Zari atulie tu hv na hao watoto watano atamtaka nan labda?atulize kipago akubali yaaishe asijifanye mjuvi itakula kwake kuna wanawake wazuri name very respected ambao nasseb can get them tena wa umri wake sasa akae ajiulize na aache drama from today onwards tena akitaka kujua maisha magumu amuache dai
Wewe ndio esma platinumz nini naona unamuelezea kaka yako kwa hisia zaidi
 
Mmmh unaweza kuta unatamani kilionja dyudyu la Mondi....huna lolote....unajua anawafanya vipi mpaka waelemewe kimahaba kwake?
We nae utakua umepagawa na maisha si bure msiiiiiiiiiiw
 
Naona muda si mrefu tutajaliwa taarifa mujarabu wa nani mmilikiwa wa karanga, studio, WasafiDokTom na mazagazaga mengine...
[HASHTAG]#ZariTheMafiaLady[/HASHTAG]
 
20170919_183110.png

tzshaderoom-1505828279947.jpg
 
Back
Top Bottom