Zari ana maana gani kusema hivi?

Where?acha hizo. Zari alimnunulia mbwa nillan akamuita simba,kwani simba si mnyama jamii ya mbwa. Mtu ukishajiita majina ya wanyama uache kujishtukia
Numbi sio fair bhana
 
Where?acha hizo. Zari alimnunulia mbwa nillan akamuita simba,kwani simba si mnyama jamii ya mbwa. Mtu ukishajiita majina ya wanyama uache kujishtukia
mbona speed numbi...mi nimecoment tu wala sio ugomvi.
hiyo ni according to wambea wa kule not me[emoji4] [emoji4] [emoji3]
labda wao ndo walijishukia sio mimi..ila ishu ilitrend sana wakaconclude ni dongo kwa dai ndo ikawa hivo
 
Lazima speed naona unaendeleza uongo kisingizo wambea wa kule. Aisee
mbona speed numbi...mi nimecoment tu wala sio ugomvi.
hiyo ni according to wambea wa kule not me[emoji4] [emoji4] [emoji3]
labda wao ndo walijishukia sio mimi..ila ishu ilitrend sana wakaconclude ni dongo kwa dai ndo ikawa hivo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…