Zari ana maana gani kusema hivi?

Zari ana maana gani kusema hivi?

Swala hapo ni hilo neno Vikima lilivyotumika,ni kiganda au ni kiswahili...?
 
Where?acha hizo. Zari alimnunulia mbwa nillan akamuita simba,kwani simba si mnyama jamii ya mbwa. Mtu ukishajiita majina ya wanyama uache kujishtukia
Ni kweli kibongo bongo hata EA ni kawaida mbwa kuitwa Simba mi mwenyewe nina dogi anaitwa Simba.
 
Back
Top Bottom