Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,659
haahaaa una undugu na zari au mapenzi tuu?Lazima speed naona unaendeleza uongo kisingizo wambea wa kule. Aisee
haahaaa una undugu na zari au mapenzi tuu?
Usikute ndio zarihaahaaa una undugu na zari au mapenzi tuu?
hahaa haiwezekaniUsikute ndio zari
Hahaha mambo vipi lakinihahaa haiwezekani
pouwa.vipiHahaha mambo vipi lakini
hahaaAaah naona umenitumia kama ngazi ya kumsogelea aggyjay
Siku nyingine msalimie moja kwa moja acha uoga
ahahahaha unaniumbua mwenzio!Aaah naona umenitumia kama ngazi ya kumsogelea aggyjay
Siku nyingine msalimie moja kwa moja acha uoga
Safi tu, naona Numbisa amenipa lawama nisiyoistahilipouwa.vipi
Ni kweli kibongo bongo hata EA ni kawaida mbwa kuitwa Simba mi mwenyewe nina dogi anaitwa Simba.Where?acha hizo. Zari alimnunulia mbwa nillan akamuita simba,kwani simba si mnyama jamii ya mbwa. Mtu ukishajiita majina ya wanyama uache kujishtukia
humjui kima jamii ya sokwe yule anaeparamia mitiSwala hapo ni hilo neno Vikima lilivyotumika,ni kiganda au ni kiswahili...?
pole..ila umestahiliSafi tu, naona Numbisa amenipa lawama nisiyoistahili
Vyovyote tu
Hahahah mzee babaAaah naona umenitumia kama ngazi ya kumsogelea aggyjay
Siku nyingine msalimie moja kwa moja acha uoga
Maana yangu ni kuwa,was she really ment to call her own children Vikima..?humjui kima jamii ya sokwe yule anaeparamia miti