Nimestahilije daahpole..ila umestahili
awaiteje sasa kama baba yao mwenyewe ndo katukana .fanya mfano wewe unamtukana mkeo unamwita kenge...na yeye kakuzalia je kenge anaweza kukuzalia binadamu?.Maana yangu ni kuwa,was she really ment to call her own children Vikima..?
na huyu mama hakumaanisha kuwatukana wanae..bali ni kama anamkumbusha upuuzi wakeMaana yangu ni kuwa,was she really ment to call her own children Vikima..?
haaha yaacheNimestahilije daah
Ok labda sikujua mwanzo wa hiyo story,kwahiyo chanzo ni kuwa Diamond alimuita mama yao Kima,duh haya ndio matatizo ya kudandia thread,nimekuelewa..awaiteje sasa kama baba yao mwenyewe ndo katukana .fanya mfano wewe unamtukana mkeo unamwita kenge...na yeye kakuzalia je kenge anaweza kukuzalia binadamu?.
kama mama yao unamwona kenge basi kakuzalia kenge..
ukimtukana mkeo umewatukana wanao
Ahahaha Asante nimeenda ukarimu wako!haaha yaache
Hawa bado wanapendana na kila mmoja ana hamu na mwenzake
asante mkuuAhahaha Asante nimeenda ukarimu wako!
ahahahaha unaniumbua mwenzio!
na huyu mama hakumaanisha kuwatukana wanae..bali ni kama anamkumbusha upuuzi wake
Natumai kukuona tena!asante mkuu
kwani huyu anshindwa nini kulea mtoto kivyake adai hela ya matumizi tu.anajidhalilishaWanawake wa kujielewa,siku hamisa akijielewa ntamtetea. Asimame mwenyewe tena ikifika birthday ya dai amuweke mwanae na kumuita baba sidekid. Ni kofi kwa kofi maisha yaendelee
Dai na wema ndo wanapendana ila kurudiana wanaona soo
kwani huyu anshindwa nini kulea mtoto kivyake adai hela ya matumizi tu.anajidhalilisha
Unatoa I hapo kwenye K unaweka UKwani huko Uganda neno KIMA lina maana gani?
Ana maanisha alizalishwa na Kima.......Akiwa anamtakia birthday mondView attachment 886195