Ni suala la muda tu. Sidhani kama kwa sasa anafurahishwa na yanayofanywa na "muuza Karanga" wake (Diamond Platnumz).
Kumbuka kipindi kile maneno yaliyoandikwa na Diamond pale alipoona picha za Zari akiwa na mwanaume. Sasa unganisha na hili la Hamisa Mobetto.
Zari ana mkosi na wanaume hata huyu ataachana naye soon!
---------
UPDATE (14 FEB. 2018) >> Zari avunja rasmi mahusiano yake na Diamond Platinumz sababu ya kukosekana uaminifu katika mahusiano yao