Zari ana mkosi na wanaume: Muda ukifika ataachana na muuza karanga kama ilivyotokea kwa Ivan

Mtarban

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2015
Posts
3,858
Reaction score
5,101
Najua wengi wanatamani Zari na Diamond watengane, na ndivyo wanavyoomba iwe kama huyu mleta uzi... Wanadamu hata kama huna uhusiano nao hata chembe watafanya kila wanaloweza ili usiendelee na kile unachokiamini... Mungu yupo kwa kila binadamu kwa kusudi maalum naamini atawapigania tu ZARI NA DIAMOND ili iwe fedheha kwa wanafiki wote... ASIYE NA KASOLO NI MUNGU TU!!!
 
mimi mungu anipe mwanaume kama ivan ,na watoto watatu .eti nijitoe nikaanzishe maisha na mtu mwingine? big no .alikosea sana kuachana na ivan .hakuna ndoa isiyokuwa na shida angevumilia tu baada ya muda wangekuwa sawa .mzimu wa ivan hautomuacha salama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…