Super Handsome
JF-Expert Member
- Jul 16, 2013
- 3,844
- 6,448
Leo utaenda the pallet?mimi mungu anipe mwanaume kama ivan ,na watoto watatu .eti nijitoe nikaanzishe maisha na mtu mwingine? big no .alikosea sana kuachana na ivan .hakuna ndoa isiyokuwa na shida angevumilia tu baada ya muda wangekuwa sawa .mzimu wa ivan hautomuacha salama
Furaha ndo kila kitu, sio kila mtu ana moyo wa kuishi kwa shida ili tu kufurahisha watu.mimi mungu anipe mwanaume kama ivan ,na watoto watatu .eti nijitoe nikaanzishe maisha na mtu mwingine? big no .alikosea sana kuachana na ivan .hakuna ndoa isiyokuwa na shida angevumilia tu baada ya muda wangekuwa sawa .mzimu wa ivan hautomuacha salama
She thought grass are greener on the other sideFuraha ndo kila kitu, sio kila mtu ana moyo wa kuishi kwa shida ili tu kufurahisha watu.
Yupo wapi mange na mzungu, kutupia picha ya kuwa wako happy kumbe ndani moto tu
Tatizo hataki kuishi km mamaNi suala LA muda tu. Sidhani kama kwa sasa anafurahishwa na yanayofanywa na muuza Karanga wake. Kumbuka kipindi kile maneno yaliyoandikwa na diamond pale alipoona picha za zari akiwa na mwanaume. sasa unganisha na hili LA Hamisa Mobetto. zari ana mkosi na wanaume hata huyu ataachana naye soon
Yeye ndo hajitambui,Siyo mkosi huenda anakutana na watu wasiojitambua au atakuwa na tatizo fulani
Tutavifua tena kwa sabuni ya omoNaona mnataka tukanwa tena...vichupi kunuka...
Hahaahaa
Ww umefanyia wapi research na ulitumia njia gani kuja kupata conclusionKwa taarifa yako zile Karanga yeye ametumika kama brand tu kwa ujira was Mil.50 ..ni product za wahindi...ni sawa na Chibu Perfume kwamba ni product ya mke was Joseph Kusaga! muwe mnafanya research...idiot!
hahahaaa umenishinda tabiaKomaa aachwe uolewe wewe
Ooooho sawa mkuu. Ila nashukuru umenifumbua nikajua Chibu perfume ni project yake kabisa kumbe anatumika kama brand...Mpunga ameupiga kama malipo tu baada ya hapo napato hayamuhusu!
Kwani wewe mpenzi wako wa kwanza uko nae mpaka leo, kuachana ni kawaida tu wala sitashangaaNi suala LA muda tu. Sidhani kama kwa sasa anafurahishwa na yanayofanywa na muuza Karanga wake. Kumbuka kipindi kile maneno yaliyoandikwa na diamond pale alipoona picha za zari akiwa na mwanaume. sasa unganisha na hili LA Hamisa Mobetto. zari ana mkosi na wanaume hata huyu ataachana naye soon
Kwahiyo ndio kusema umeshapata UKWELI..!?Ooooho sawa mkuu. Ila nashukuru umenifumbua nikajua Chibu perfume ni project yake kabisa kumbe anatumika kama brand...
Njia ya kujua ukweli maana nimepata mwanga wa kufuatilia...Kwahiyo ndio kusema umeshapata UKWELI..!?