Zari ana mkosi na wanaume: Muda ukifika ataachana na muuza karanga kama ilivyotokea kwa Ivan

mwaandishi wa ujumbe juu unawivu rekebisha kauli

Sent using Jamii Forums mobile app
 

This statement says it all.
 
Kwa taarifa yako zile Karanga yeye ametumika kama brand tu kwa ujira was Mil.50 ..ni product za wahindi...ni sawa na Chibu Perfume kwamba ni product ya mke was Joseph Kusaga! muwe mnafanya research...idiot!
Duh kuna watu mnajua hbr za jikon mwa wa2 syo mchezo,kama nimekuelewa hv.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fahari wawili wakipigana kinachoumia nyasi mziki na umaarufu unakikomo underground wanakaza mnoo zari kunasiku utaonekana wa maana pambana na biashara zako uyo aliemeza condom ipo siku atakumbuka yaliyo mkuta ivan alimtukana zari kisa lile njemba sasa hv anatukanwa hamisa daah jeuri ya pesa mbaya sana mtu yoyote anae dhalilisha wanawake anastahili kufungwa jiwe kubwa atupwe baharini uzuri wake ukifanya haya hata mashabiki pia una peperusha.
 
Mwacheni dada wa watu afurahe maisha na jamaa ake! Mbona wabongo mnaumia sana kuhusu life ya domo na zari
 
Hilo limwanamke ni lisengerema na wanaolishabikia nao ni masengerema.Mara linajitiabna madlido mara linazazaa tuu ,mara linadate ni kitoto kidogo,mara watoto wafanane na mtalaka wake,mara liko kwenye maji linakata viuno,mkorogo hadi kwenye meno,kujiremba remba kwingiiii,halijitambui hata kdogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo alishapenda toka zamani,kwa Domo akitafuta faraja ili kuumiza Mganda,mganda naye alishindwa vita aka rip.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…