balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Kwamba huyo shankupe wa kiganda ana kinyama kwenye ndogo hivyo kuachika na mwanaume kufa ni lazima?
Hawezi pata mtu anahejitambua.Wenye hyo video endeleeni kuisambaza ili kumuumbua.Mm najuliza tu hawa watoto wakikua afu wakute hilo tukio la mama yao sijui watajisikiaje.......jitu zima linajisugua na midildo kwa papuch huku linajirekodi yaani ata domo ana roho ngm kwa kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanawake tunasifa ya uvumilivu sana ukiona mwanamke mwenzio ameondoka hata sehemu yenye mali ujue ameshavumilia mpaka ameamua kunyoosha mikono.Hakuna kitu kizuri ktk ndoa kama upendo na amani.mimi mungu anipe mwanaume kama ivan ,na watoto watatu .eti nijitoe nikaanzishe maisha na mtu mwingine? big no .alikosea sana kuachana na ivan .hakuna ndoa isiyokuwa na shida angevumilia tu baada ya muda wangekuwa sawa .mzimu wa ivan hautomuacha salama
Hii ni comment bora kabisa. Mkuu kura like zako kibao.Nchi yetu haiji endelea...kwanini watu mnapenda kuombeana kufail...kwanini watanzania hawapendi maendeleo ya watu...kwanini watanzania hatutoki kwene kundi la upumbavu kama asemavyo mkapa...!!! Naisi ikijatokea huyu jamaa kafirisika na kawa ombaomba ndio itakuwa raha ya watanzania...mi naisi hii sio roho ya wanadam wenye hofu ya mungu ni roho zenye pepo...inabidi watanzania tuombewe kwakweli....!!! Tuacheni roho za ushetani zilizojaa mapepo...tukasali ili tuwe na hofu ya mungu....twapaswa kujifunza kutokana na maendeleo ya watu ili na sisi tufanye kitu ....!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wahaya hawapo hivyo, au wa kuchomekewa wewe? Hayo waachie Wazaramo.Ni suala LA muda tu. Sidhani kama kwa sasa anafurahishwa na yanayofanywa na muuza Karanga wake. Kumbuka kipindi kile maneno yaliyoandikwa na diamond pale alipoona picha za zari akiwa na mwanaume. sasa unganisha na hili LA Hamisa Mobetto. zari ana mkosi na wanaume hata huyu ataachana naye soon
Sio kama ana mkosi na wanaume inawezekana she is making wrong selection.Ana aina ya wanaume ambao yeye anawapenda lakini yawezekana hiyo type ya wanaume sio wanaume wa kaliba yake na ndio maana anakutwa na hayo matatizo.Amini au usiamini binadamu wengi kama sio wote tunafanya makosa makubwa sana kuchagua wenza wetu kwa matamanio bila ya kumshirikisha Mungu,ndio maana katika kipindi kifupi tu utakuta mahusiano yameshaingia dosari.Ni suala LA muda tu. Sidhani kama kwa sasa anafurahishwa na yanayofanywa na muuza Karanga wake. Kumbuka kipindi kile maneno yaliyoandikwa na diamond pale alipoona picha za zari akiwa na mwanaume. sasa unganisha na hili LA Hamisa Mobetto. zari ana mkosi na wanaume hata huyu ataachana naye soon
Tupe angalau kopy ya huo mkataba na wahindi otherwise itakua ni udaku tuKwa taarifa yako zile Karanga yeye ametumika kama brand tu kwa ujira was Mil.50 ..ni product za wahindi...ni sawa na Chibu Perfume kwamba ni product ya mke was Joseph Kusaga! muwe mnafanya research...idiot!
Atapata mume na lundo hili la watoto duh! Wanaume na sisi ni mafisi balaaTatizo hataki kuishi km mama
Yy anataka kuishi ki sanii
Yy ni mama pamoja na yote anayodhani anayo,
Siku akiamua kurudi chini na kuishi km mama tena mama wa kiafrika siyo wa kizungu atapata mume na ataishi na mumewe vizuri kabisa,
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona povu jingi mkuu, pole kwa yaliyokukutaHilo limwanamke ni lisengerema na wanaolishabikia nao ni masengerema.Mara linajitiabna madlido mara linazazaa tuu ,mara linadate ni kitoto kidogo,mara watoto wafanane na mtalaka wake,mara liko kwenye maji linakata viuno,mkorogo hadi kwenye meno,kujiremba remba kwingiiii,halijitambui hata kdogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanawake tunasifa ya uvumilivu sana ukiona mwanamke mwenzio ameondoka hata sehemu yenye mali ujue ameshavumilia mpaka ameamua kunyoosha mikono.Hakuna kitu kizuri ktk ndoa kama upendo na amani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeona eeDaah...!! Mnajua mikosi au mnasikia?!!! Sema hana bahati na ndoa
My own brand!!
Ni suala LA muda tu. Sidhani kama kwa sasa anafurahishwa na yanayofanywa na muuza Karanga wake. Kumbuka kipindi kile maneno yaliyoandikwa na diamond pale alipoona picha za zari akiwa na mwanaume. sasa unganisha na hili LA Hamisa Mobetto. zari ana mkosi na wanaume hata huyu ataachana naye soon
Utabiri umetimia
Mkuu habari yako aiseeeee.....!!Najua wengi wanatamani Zari na Diamond watengane, na ndivyo wanavyoomba iwe kama huyu mleta uzi... Wanadamu hata kama huna uhusiano nao hata chembe watafanya kila wanaloweza ili usiendelee na kile unachokiamini... Mungu yupo kwa kila binadamu kwa kusudi maalum naamini atawapigania tu ZARI NA DIAMOND ili iwe fedheha kwa wanafiki wote... ASIYE NA KASOLO NI MUNGU TU!!!