Zari anunua gari audi mpya 2018

instagram

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
2,118
Reaction score
4,863
Baada ya kununua mercedes mpya model ya 2017 mara baada ya kufiwa na mumewake na kuanza ku control biashara za mumewe, leo tarehe 5jan 2018 zari kanunua gari mpya suv aina ya audi mara baada ya chuo cha mumewe kukusanya ada za wanafunzi wapya.
 
So what
 
Mambo ya ajabu...kwa hiyo mtu ukinunua kigari lazima ujitangaze [emoji87]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…