Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So whatBaada ya kununua mercedes mpya model ya 2017 mara baada ya kufiwa na mumewake na kuanza ku control biashara za mumewe, leo tarehe 5jan 2018 zari kanunua gari mpya suv aina ya audi mara baada ya chuo cha mumewe kukusanya ada za wanafunzi wapya.![]()
![]()
Mambo ya ajabu...kwa hiyo mtu ukinunua kigari lazima ujitangaze [emoji87]Baada ya kununua mercedes mpya model ya 2017 mara baada ya kufiwa na mumewake na kuanza ku control biashara za mumewe, leo tarehe 5jan 2018 zari kanunua gari mpya suv aina ya audi mara baada ya chuo cha mumewe kukusanya ada za wanafunzi wapya.![]()
![]()
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji23] i can smell a heavy povuKwahiyo?
Bado anasubiri mambo yakitiki kisutu apate mpunga afungue dukaSide chick kanunua nini yeye
Uyo shory akinunua tu gauni anapost picha ..Gari kama iyo asipost?Watu wanapenda show off niwakuwazoea tuMambo ya ajabu...kwa hiyo mtu ukinunua kigari lazima ujitangaze [emoji87]
Huyu sio wa kushindana nae ndo maana Hamisa kaaga shindano!!!!
Hongera zari