Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Ha ha ha sidhani kama alifika hata robo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kaaga nusu fainali au fainali
Cyo kigari ni gariMambo ya ajabu...kwa hiyo mtu ukinunua kigari lazima ujitangaze [emoji87]
Sina tabia za hiyo.Cyo kigari ni gari
Ebu onyesha na ww kigari chako kama unacho[emoji16][emoji16]
Waache walionayo waonyeshe..ww baki na tabia yako nzuri ya kutokuonesha kigari chakoSina tabia za hiyo.
Ni tabia mbaya kufanya hivyo mitandaoni.
Sasa nikifanya hivo ili kushinda ubishi na wewe nitakuwa na tofauti gani na Zari?
Alafu Leo koment zetu zimefuatana !!.Mtoa Mada Utakuwa unasumbuliwa na vyuma
Asante NashukuruAlafu Leo koment zetu zimefuatana !!.
Bila shaka siku yako imeisha vzuri japo umefanya kazi sana ,umeongea sana ,,lkn imeisha vzuri !!!.... Nilikumisimo Beef !!.
Sema nakutext sana kwa Kassim majaaliwa lkn kimya ,sijui nn tatizo ,au siruhusu kukutext .Asante Nashukuru
Wewe tu na nafsi yako Mimi kiroho Safii tu nafurahiSema nakutext sana kwa Kassim majaaliwa lkn kimya ,sijui nn tatizo ,au siruhusu kukutext .
Aaahh hongera kwa kua na moyo safi maana wenye mioyo safi ndo watafaidi Paradiso ..nina ujumbe wako ila kila nikiutuma naambiwa sina access . Karibu msosi mkuu !!.Wewe tu na nafsi yako Mimi kiroho Safii tu nafurahi
Mi naona ni ushamba tu