Zari anunua gari audi mpya 2018

Zari anunua gari audi mpya 2018

Cyo kigari ni gari
Ebu onyesha na ww kigari chako kama unacho[emoji16][emoji16]
Sina tabia za hiyo.
Ni tabia mbaya kufanya hivyo mitandaoni.
Sasa nikifanya hivo ili kushinda ubishi na wewe nitakuwa na tofauti gani na Zari?
 
wangapi wananunua magari mbona huwatangazi watanzania bwana atakaa kijiweni asubuhi mpaka jioni kumsifia mtu mpaka koo linamkauka na hapati faida na anae sifiwa wala hakujui kwanini usikae kumsifu mungu asubuhi mpaka jioni yeye atakusikia na atakupa kwa kumsifia
 
Le mtumboz kanunua Bugatti lkn hamumtangazi mTz mwenzetu.
 
Mi naona ni ushamba tu

Stop hating boss. huu mchezo hautaki hasira ..........

Sioni shida mtu kuonyesha mali yake aliyoitafuta kwa jasho.....anayekula vyake hana deni ati....
 
Back
Top Bottom