laki si pesa.
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 10,003
- 9,755
mali yake au ya mumewe marehemu?Stop hating boss. huu mchezo hautaki hasira ..........
Sioni shida mtu kuonyesha mali yake aliyoitafuta kwa jasho.....anayekula vyake hana deni ati....
Kule nimefunga mkuu Pole Sana.Aaahh hongera kwa kua na moyo safi maana wenye mioyo safi ndo watafaidi Paradiso ..nina ujumbe wako ila kila nikiutuma naambiwa sina access . Karibu msosi mkuu !!.
Aaahhh kumbe ndo maana !!.Unifungulie sasa au ufanye namna ,nabonge laujumbe wako !!.Kule nimefunga mkuu Pole Sana.
Baada ya kununua mercedes mpya model ya 2017 mara baada ya kufiwa na mumewake na kuanza ku control biashara za mumewe, leo tarehe 5jan 2018 zari kanunua gari mpya suv aina ya audi mara baada ya chuo cha mumewe kukusanya ada za wanafunzi wapya.
Umenena vyema!Aisee ndio matunda ya kuchapa kazi!!!
Mali na vitu vyote ni vya duniani hatutakwenda navyo kaburini, tufanye kazi kwa ajili ya dunia na watu wake.
Sasa gari zenyewe za kutangaza zikowapi Passo? Vitz? IST? Hizo sio gari, ni vidude tu vyenye matairi vya kukuwezesha kumove point A to B. Wacha wenye magari yao waturingishiewangapi wananunua magari mbona huwatangazi watanzania bwana atakaa kijiweni asubuhi mpaka jioni kumsifia mtu mpaka koo linamkauka na hapati faida na anae sifiwa wala hakujui kwanini usikae kumsifu mungu asubuhi mpaka jioni yeye atakusikia na atakupa kwa kumsifia
Mbona wewe umepoteza mda kumwaga povu hapa badala ya kumsifu Munguwangapi wananunua magari mbona huwatangazi watanzania bwana atakaa kijiweni asubuhi mpaka jioni kumsifia mtu mpaka koo linamkauka na hapati faida na anae sifiwa wala hakujui kwanini usikae kumsifu mungu asubuhi mpaka jioni yeye atakusikia na atakupa kwa kumsifia
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Hamisa kaishia kununua chanuo na pampas