Zari anunua gari audi mpya 2018

Zari anunua gari audi mpya 2018

Baada ya kununua mercedes mpya model ya 2017 mara baada ya kufiwa na mumewake na kuanza ku control biashara za mumewe, leo tarehe 5jan 2018 zari kanunua gari mpya suv aina ya audi mara baada ya chuo cha mumewe kukusanya ada za wanafunzi wapya.
d1e366f3a802855e06f5aec231f4f7e8.jpg
0d9aa28d92bc856619f32e2bdab95da9.jpg


Hiyo siyo Audi ya 2018, angalia Grille yake, kwanza ins miaka zaidi ya 5!
 
Yule side chick amekuwa msasambuaji kwenye sherehe na vigodoro vya tandale, yombo na Kampala
 
Dada mange hajathibitisha hili siamini Itakuwa ni kakopa au kapiga picha tuu
 
Kwahiyo we ulitaka anunue DILDO?![emoji117] [emoji108] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Hilo gari angelinunua na kulileta Tanzania TiaRei wangepiga kodi si mchezoo
 
wangapi wananunua magari mbona huwatangazi watanzania bwana atakaa kijiweni asubuhi mpaka jioni kumsifia mtu mpaka koo linamkauka na hapati faida na anae sifiwa wala hakujui kwanini usikae kumsifu mungu asubuhi mpaka jioni yeye atakusikia na atakupa kwa kumsifia
Sasa gari zenyewe za kutangaza zikowapi Passo? Vitz? IST? Hizo sio gari, ni vidude tu vyenye matairi vya kukuwezesha kumove point A to B. Wacha wenye magari yao waturingishie
 
wangapi wananunua magari mbona huwatangazi watanzania bwana atakaa kijiweni asubuhi mpaka jioni kumsifia mtu mpaka koo linamkauka na hapati faida na anae sifiwa wala hakujui kwanini usikae kumsifu mungu asubuhi mpaka jioni yeye atakusikia na atakupa kwa kumsifia
Mbona wewe umepoteza mda kumwaga povu hapa badala ya kumsifu Mungu
 
Hongera Zari asante pia kwa kutupa hasira ya kuendelea kuzisaka
 
Hyo sio Audi Q7 ya 2018 bwana tusidanganyane.

Hii ni Audi Q7 ya mwaka 2013.

Anyways Hongera zake bado ni gari ya thamani ambayo wengi wetu hatuwez afford.

Hii ni Audi Q7 ya 2013


13b96b795b4de870ce17873692ef6574.jpg


Na hii hapa ni Audi Q7 ya 2018

a60ae5419ee25a635036173f86348684.jpg
 
Back
Top Bottom