DAKA MTUMBA
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,288
- 801
Duhh!!hili dude haliishagi utamu aise(Colombina)Mitandao mkuu ina fursa sana ya udanganyifu. Ni kuyatazama tu na kuyaacha yalivyo mengi sana ni feki mno hadi aibu [emoji1492][emoji1492][emoji1492]
View attachment 765719
afadhali ulivyomalizia na hii picha ya cataliynaMitandao mkuu ina fursa sana ya udanganyifu. Ni kuyatazama tu na kuyaacha yalivyo mengi sana ni feki mno hadi aibu [emoji1492][emoji1492][emoji1492]
View attachment 765719
hapo ndio unanishangaza zaidi.kwahyo ni vipodozi ndio ananunua magari yote hayo ya bei mbaya!!!! kutoa kwenye biashara yako ukanunua BENZ, BENTLEY,PORSCHE ,RANGE ROVER,sio kitu kidogo! kuna gari hapo bila mil 200 hununui sasa yeye ana nyingiVyuo sio shule,halafu ni mali ya wanae ya urithi jamaa ana net worth ya $8m
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wakiambiwa ukweli kama huu wanakuwa wakali kama wamepakwa pilipili mdomomi
hii picha ni kwenye filamu ya colombiana itafute uiangalie ni nzuri sana.Dada anaitwa Cataliya!!!
Farasi Mweupe hiyo picha imenkumbusha cataliya,ndo iliyomtambulisha zoe kwangu
ha haaa haaaaa umenichekesha sana Aisee!Tusubiri mda gani mama?maana hata wakati ananunua ile nyumba mlisema ipo Siku,naomba kuuliza swali la nyongeza tusubiri hadi lini?
Duhh!!hili dude haliishagi utamu aise(Colombina)
Inaonekana umeaumia sana leo
Basi tumpongezeeBora yeye hata kagusa kupigia picha