LadyRed
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 9,636
- 11,483
Tecno werevaaaa hahahah kwa raha zenuuShuka kituo cha Skania Hapa vingunguti,kuna BMW za kutosha uje tupige picha nyingi tu,au maktaba pale.
Ila uje na tecno cx ndio ina piga vizuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tecno werevaaaa hahahah kwa raha zenuuShuka kituo cha Skania Hapa vingunguti,kuna BMW za kutosha uje tupige picha nyingi tu,au maktaba pale.
Ila uje na tecno cx ndio ina piga vizuri
mwenyewe hajuwe iyo picha kaiopowa kule facebook naye akaileta uku JF siunajuwa hivi Vitototo vyashule sometim vinakuwa vinakurupukaNini kimekujulisha kwamba kanunua?mbona ni show room tu hapo kaomba kupigia picha hilo Range?
yooooh kiba100Diamond ni kapuku tu, hana helaa
huyu kuna kitu kikubwa alichomuudhi Diamond sio bure, mdomo haukawii kuponza kichwa.hapo ndio unanishangaza zaidi.kwahyo ni vipodozi ndio ananunua magari yote hayo ya bei mbaya!!!! kutoa kwenye biashara yako ukanunua BENZ, BENTLEY,PORSCHE ,RANGE ROVER,sio kitu kidogo! kuna gari hapo bila mil 200 hununui sasa yeye ana nyingi
View attachment 765738 View attachment 765743
social media ndio zinampa umaarufu na baadae kukamilisha dili zake kiurahisi!ningekuwa mtu wa karibu na zari, ningemshauri aachane na drama za social media, angekuwa tu anafanya mambo yake kimya kimya bila show off.
tatizo na yeye licha ya umri wake mkubwa, anapenda sana apewe attention.
TOMASO!Nitaamini ni yake nikiona anaitumia. Maana huyu naye ni wale wale. Diamond aliwahi kutuonesha Hummer na huyu Mwanamke akampongeza ila Hadi sasa sijawahi kuliona tena. Hata hiyo nyumba hiyo Mda utaongea.
Diamond kapigwa hela ndefu tu imebidi anyamaze aendelee na show kuziba pengo.huyu kuna kitu kikubwa alichomuudhi Diamond sio bure, mdomo haukawii kuponza kichwa.
true say...ningekuwa mtu wa karibu na zari, ningemshauri aachane na drama za social media, angekuwa tu anafanya mambo yake kimya kimya bila show off.
tatizo na yeye licha ya umri wake mkubwa, anapenda sana apewe attention.
ww umeona lini kapost yako parking home zaidi ya showroom tuKila mama anatamani hayo maisha ila basi tu.
Kila mama anatamani kuwa desperate???Kila mama anatamani hayo maisha ila basi tu.
We endelea kujipa moyoNini kimekujulisha kwamba kanunua?mbona ni show room tu hapo kaomba kupigia picha hilo Range?