Zari anunua ndinga mpya

Bado anunue treni tu kuwakomesha kina Wowowo.
 
Baada Ya Davido kumzawadua Mpenzi wake Chioma gari wabongo walimsema sana kuwa Mond hajawahi mnunulia hata Rav 4.Hatimaye Bibie kajibu mapigo.

Hongera kwake Hard work pay. She's one in a Million. View attachment 765667
Hasingekuwa amepita Diamond ningemwomba awe mke wangu maana Diamond kaacha mke Lulu
 
Kweli bihashara ya Cocaine inalipa
 
Nimegundua Zari anapenda sana Magari.
Tunaendana aiseee.
Shuka kituo cha Skania Hapa vingunguti,kuna BMW za kutosha uje tupige picha nyingi tu,au maktaba pale.

Ila uje na tecno cx ndio ina piga vizuri
 
Iv akishapiga picha kama hivo hua mnamuonaga akiwa anayaendesha
 
ningekuwa mtu wa karibu na zari, ningemshauri aachane na drama za social media, angekuwa tu anafanya mambo yake kimya kimya bila show off.

tatizo na yeye licha ya umri wake mkubwa, anapenda sana apewe attention.

Zari karudishwa utotoni na yule mhuni wa Tandale hizi heka heka ni kujaribu kuwaaminisha watu wake kua yuko sawa kabisa ila inaoonekana kuna pengo la mtoto wa Tandale na asipofanya ivi hakika atapotea midomoni mwa watu kitu ambacho hataki kitokee maana pamoja na yote dogo alimuongezea fan base hasa uku kwetu ambao ni 'machizi instagram'
Ila siku uyu mdogo wetu akifungua mdomo kuhusu uyu dada basi itakua balaa kwake maana naona dogo pamoja na vurumai za mzazi mwenzie amejitahidi kukausha.
 
Domo akianza kuharisha mneno ni noma.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…