Zari anunua ndinga mpya

Shuka kituo cha Skania Hapa vingunguti,kuna BMW za kutosha uje tupige picha nyingi tu,au maktaba pale.

Ila uje na tecno cx ndio ina piga vizuri
Tecno werevaaaa hahahah kwa raha zenuu
 
Sisi huku bado tunajipanga na safari yetu ya kutembea kwa magoti mpaka South Africa...
 
Nini kimekujulisha kwamba kanunua?mbona ni show room tu hapo kaomba kupigia picha hilo Range?
mwenyewe hajuwe iyo picha kaiopowa kule facebook naye akaileta uku JF siunajuwa hivi Vitototo vyashule sometim vinakuwa vinakurupuka
 
huyu kuna kitu kikubwa alichomuudhi Diamond sio bure, mdomo haukawii kuponza kichwa.
 
ningekuwa mtu wa karibu na zari, ningemshauri aachane na drama za social media, angekuwa tu anafanya mambo yake kimya kimya bila show off.

tatizo na yeye licha ya umri wake mkubwa, anapenda sana apewe attention.
social media ndio zinampa umaarufu na baadae kukamilisha dili zake kiurahisi!
 
mwenyewe hajuwe iyo picha kaiopowa kule facebook naye akaileta uku JF siunajuwa hivi Vitototo vyashule sometim vinakuwa vinakurupuka
Roho mbaya ni ugonjwa mbaya sana.
 
Nitaamini ni yake nikiona anaitumia. Maana huyu naye ni wale wale. Diamond aliwahi kutuonesha Hummer na huyu Mwanamke akampongeza ila Hadi sasa sijawahi kuliona tena. Hata hiyo nyumba hiyo Mda utaongea.
TOMASO!
 
ningekuwa mtu wa karibu na zari, ningemshauri aachane na drama za social media, angekuwa tu anafanya mambo yake kimya kimya bila show off.

tatizo na yeye licha ya umri wake mkubwa, anapenda sana apewe attention.
true say...
 
huyu demu muigizaji tu ananunua wapi anabandika plate number tu mbona hapost yakiwa home au road aliwa anaendesha muongo tu
 
Sometimes the grass is greener on the other side because it's fake.
 
Kumbe malaya wa kike akiwa na pesa anaitwa mama wa mfano!!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…