Zari anunua ndinga mpya

Zari anapenda magari na ananunua.

Mimi kuna kitu nakipenda ila naishia kukiota tu.
 
Naamini Diamond sio mjinga kumuacha huyu dem na uzuri wake
kuna kosa kubwa atakuwa alifanya huyu ama pia inawezekana Chiu wake sio mtamu kabisa ...
 
Range rover zinauzwa bei rahisi SA hapa kwetu bei ni kubwa kutokana na kodi otherwise range ni gari ya kawaida sana
 
Huyu Zari kila kitu chake anaweka kwenye mitandao?naona na mipango yake yote na familia no.Nahisi huyu mama ana Tatizo sio bure wewe uwezi kuendesha maisha kwa social media.Kesho atanunua Pichu aweke huku.Watu went akili zao na pesa zao hawaweki vitu kea media.Wapelekeni watoto shule elimu muhimu Sana unaweza kujitambua kidogo
 
Nitaamini ni yake nikiona anaitumia. Maana huyu naye ni wale wale. Diamond aliwahi kutuonesha Hummer na huyu Mwanamke akampongeza ila Hadi sasa sijawahi kuliona tena. Hata hiyo nyumba hiyo Mda utaongea.
Asante, Saluti kwako mkuu!
 
Nitaamini ni yake nikiona anaitumia. Maana huyu naye ni wale wale. Diamond aliwahi kutuonesha Hummer na huyu Mwanamke akampongeza ila Hadi sasa sijawahi kuliona tena. Hata hiyo nyumba hiyo Mda utaongea.
Asante, Saluti kwako mkuu!
 
Mimi pia namshangaa ,hadi akinunua mabirika anahabarisha kwenye mitandao .Huyu mwanamke anatatizo sio siri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…