iron finger
JF-Expert Member
- Sep 27, 2011
- 358
- 220
Kathibitisha hilo.Nini kimekujulisha kwamba kanunua?mbona ni show room tu hapo kaomba kupigia picha hilo Range?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kathibitisha hilo.Nini kimekujulisha kwamba kanunua?mbona ni show room tu hapo kaomba kupigia picha hilo Range?
Kama ni kweli na wewe kapigeKapiga picha na gari
Tusubiri mda gani mama?maana hata wakati ananunua ile nyumba mlisema ipo Siku,naomba kuuliza swali la nyongeza tusubiri hadi lini?Nitaamini ni yake nikiona anaitumia. Maana huyu naye ni wale wale. Diamond aliwahi kutuonesha Hummer na huyu Mwanamke akampongeza ila Hadi sasa sijawahi kuliona tena. Hata hiyo nyumba hiyo Mda utaongea.
Inaonekana umeaumia sana leoMitandao mkuu ina fursa sana ya udanganyifu. Ni kuyatazama tu na kuyaacha yalivyo mengi sana ni feki mno hadi aibu [emoji1492][emoji1492][emoji1492]
View attachment 765719
Kwani nyumba amenunua Nani?Tusubiri mda gani mama?maana hata wakati ananunua ile nyumba mlisema ipo Siku,naomba kuuliza swali la nyongeza tusubiri hadi lini?
Na ww pewa kama rahisiKapewa deal ya promotion Na range Rover
hii picha ni kwenye filamu ya colombiana itafute uiangalie ni nzuri sana.Dada anaitwa Cataliya!!!Mitandao mkuu ina fursa sana ya udanganyifu. Ni kuyatazama tu na kuyaacha yalivyo mengi sana ni feki mno hadi aibu [emoji1492][emoji1492][emoji1492]
View attachment 765719
Wakiambiwa ukweli kama huu wanakuwa wakali kama wamepakwa pilipili mdomomi
Mimi na wewe hatujui?vipi wewe una hata kibanda?Kwani nyumba amenunua Nani?
Mitandao mkuu ina fursa sana ya udanganyifu. Ni kuyatazama tu na kuyaacha yalivyo mengi sana ni feki mno hadi aibu [emoji1492][emoji1492][emoji1492]
View attachment 765719
Vyuo sio shule,halafu ni mali ya wanae ya urithi jamaa ana net worth ya $8mkabiashara ka vipodozi na sasa kusimamia shule za marehemu mme wake kunalipa sana.maana huwa najiuliza ni hii tu biashara kweli!! ukweli anao mwenyewe na hongera yake!!!
Povu la nini? Swali na Comment yangu naona hujaelewa. Na unachokiongea sicho nilichoandika. Kwa heri[emoji870]Mimi na wewe hatujui?vipi wewe una hata kibanda?
Wakati unakuja ulibisha hodi?tembea nyie ndio wanga wenyewePovu la nini? Swali na Comment yangu naona hujaelewa. Na unachokiongea sicho nilichoandika. Kwa heri[emoji870]
Wanabwabwaja sana na kumchukia huyu mama watano badala ya kufanya kazi [emoji23][emoji23]
Kama ni kweli na wewe kapige