Zari apagawisha na diamond platinumz kwa jambo hili

ObieTrice

Senior Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
159
Reaction score
154
ZARI aandika hivi na kupost video matata...

"Thought I'd share my private show with ma fans... that's how much I love you. Enjoy!
Helllllll yeeeeaaaasss, Sunsets are better on roof tops Boo&Bae thang"

Na team wema wazidi kumtania ZARI wasema anamapengo ambayo yanamtesa na kumfanya asikenue meno mbele ya diamond Platinumz. ukiangalia hiyo video ndio evidence yao kuwa Zari awezi kucheka kuogopa kuonyesha mapengo..🙂🙂

 
Jamani huyu Dada hajui hata kudeka yaani kuimbiwa kote huko still kaganda tu ka msonobari, halafu kuchekea pembeni vepee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sasa hayo mapengo anamficha diamond au anatuficha ss watazamaji, yaani mwanamke mgumu cjapata ona[emoji125] [emoji125] [emoji125] timu bibi msitoe mapovu am jus saying
 
Hivi tutaendelea kwa kua bz na hivi visivyo na maana?
 
Nilisikiaga team wema ni choka mbaya,stress zao zote wanamalizia kwa zari . KUMBE NI KWELI!!? POLE SANA. IDD ULIKUA UNAOMBA MSAADA WA LAKI NNE SAIV UNAKEJELI BOSS MWENYE HELA ZAKE AMBAE MOM AKE ALIKUA ANAUMWA KAMTIBU KWA KUSHIRIKIANA NA NDUGU ZAKE KIMYA KIMYA BILA KUOMBA HELA MITANDAONI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…