Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,659
ndio..na mashangingiNilisikia team wema weng ni wanafunz na mahousegal hiv ni kwel???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndio..na mashangingiNilisikia team wema weng ni wanafunz na mahousegal hiv ni kwel???
halaf ujue itabid nijifunze gitaa niwe nakupigia kama Almas hapoHayo mapengo mlimng'oa nyie?
Fanya hivyo Mr anguhalaf ujue itabid nijifunze gitaa niwe nakupigia kama Almas hapo
sawa ila wewe uwe unacheka kabsa, usiwe kama huyu bosi lediFanya hivyo Mr angu
Mie tena. Sio la kuuliza hilo. Na dimples zinaruhusu [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6]sawa ila wewe uwe unachela kabsa, usiwe kama huyu bosi ledi
gud nakuaminia.Mie tena. Sio la kuuliza hilo. Na dimples zinaruhusu [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6]
Hahahahahahahjamani muache umbeya
duuuh!
hadi kucheka kwa mtu mnafuatilia!!
Si unaona hata yule dada anataka mwanaume anaejua kupiga piano na kuimba,sasa daimond angefuzuhalaf ujue itabid nijifunze gitaa niwe nakupigia kama Almas hapo
Wewe dada sio sawa ulichoandika.Nilisikiaga team wema ni choka mbaya,stress zao zote wanamalizia kwa zari . KUMBE NI KWELI!!? POLE SANA. IDD ULIKUA UNAOMBA MSAADA WA LAKI NNE SAIV UNAKEJELI BOSS MWENYE HELA ZAKE AMBAE MOM AKE ALIKUA ANAUMWA KAMTIBU KWA KUSHIRIKIANA NA NDUGU ZAKE KIMYA KIMYA BILA KUOMBA HELA MITANDAONI
Wewe dada sio sawa ulichoandika.
Kujificha nyuma ya simu nakupost kusiwafanye mjisikie kuwa bilgetImekuchoma ee ndo hivyo,achen kumfata fata zari
Pasuka sasa nimeshapost comment na siifuti. Mu mkome zariKujificha nyuma ya simu nakupost kusiwafanye mjisikie kuwa bilget
Sina muda wakumjadili zari wala sijui wema.mm nilichokasirika nikuona unamkashifu mwenzako kisa Wehu fulani ambao hata hawawafahamu.Samaki na mengi yakusema ila maji mdomoni.
Pasuka sasa nimeshapost comment na siifuti. Mu mkome zari
Sina muda wakumjadili zari wala sijui wema.mm nilichokasirika nikuona unamkashifu mwenzako kisa Wehu fulani ambao hata hawawafahamu.
Ok.wala sikuhitaji hujali chochote.Alichokifanya yeye hukioni?aliemkashfu anamfahamu? Kwan zari sio "mwenzetu"?
Kasirika usikasirike i dont care.