Zari apagawisha na diamond platinumz kwa jambo hili

Sasa wakicheka wawili ukitafuta diameter ya midomo yao itakuwa balaa. Mdomo wa dai unatosha kum represent na mke wake lb
 
Wewe dada sio sawa ulichoandika.
 
Alichokifanya yeye hukioni?aliemkashfu anamfahamu? Kwan zari sio "mwenzetu"?
Kasirika usikasirike i dont care.
Sina muda wakumjadili zari wala sijui wema.mm nilichokasirika nikuona unamkashifu mwenzako kisa Wehu fulani ambao hata hawawafahamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…