Zari Arusha Dongo gizani

Hivi mbona Wema hakuwa na huu ujinga jamani?
Huyu bibi ana inferiority complex,sio kwa kutokujiamini huku.

Bibi Zari,najua huwa unapita huku...deal with your man,achana na habari za nyakuz.
Wanawake tunaojiamini hatudeal na nyakuz bwana,alaaaah.
Zari is very Primitive.
 
Hv anaijua hii lugha....ama ungemchapa na kimombo kabisa...ili ujumbe ufike sawia...ama vp
 
how do you feel kuadmit mbele za watu kuwa your man hatoshekagi mpaka ananyakuliwaga?

au

au you cant handle him well,kwa hiyo nyaku time is available ?
Do you think Zari is respectable creature, who deserve such a kind of respect?
 
Nina wasiwasi Dai anapishana na Ivan kwenye hiyo bedroom yao....aweke camera ya siri....huyu dada wa kiganda .....anatia mashaka mno
 
Mmh huyu dada anatumia nguvu nyingi sana kudhihirisha uma kuwa anapendwa ki mantik ukiona mtu anajihami sana jua kuwa tatizo
Hatumii nguvu hata kidogo, acheni utani Zari anapendwa balaa na Dai.....wanawake ambao hawajawahi pendwa hivyo lazima iwaume
 
Hivi mbona Wema hakuwa na huu ujinga jamani?
Huyu bibi ana inferiority complex,sio kwa kutokujiamini huku.

Bibi Zari,najua huwa unapita huku...deal with your man,achana na habari za nyakuz.
Wanawake tunaojiamini hatudeal na nyakuz bwana,alaaaah.
Huyo mwanamke ndo anayewaelewa wanaume. Mwanaume wako tu anapokuwa nyumbani. Nyakuz wapo kama kawa.
Wengine mnadanganywa na disguise za wanaume wenu. You can't deal a man unless his manhood is stolen!
 
Hujawi kujigonga bempezoni mwakitanda. Maumivu yake yamwanaume hayaingii ndani
 
Huwa sielewai hizi issue,kwani Zari akiachwa au akiendelea kuwa na Dimondi kwani wanapata faida au hasara gani? Ni sawa na mtu anakwambia unamuonea wivu domondi kwa jinsi ulivyokoment,How?? Kwani Domondi alivyokuwa anaokota makopo au anauza mitumba niliathirika na nini? Na sasa anamiliki Jumba South na x6 mie naathirika na nini? Tuache utimu mavi.
 
Kuna kitu watu hawaelewa, kila mtu anakula kwa wakati wake.
 
Hivi mbona Wema hakuwa na huu ujinga jamani?
Huyu bibi ana inferiority complex,sio kwa kutokujiamini huku.

Bibi Zari,najua huwa unapita huku...deal with your man,achana na habari za nyakuz.
Wanawake tunaojiamini hatudeal na nyakuz bwana,alaaaah.
Chezea kushusha mtu 2 na Ndoa hutangaziwi, akiiii Dai nunda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…