SDG
JF-Expert Member
- Feb 28, 2017
- 7,631
- 8,073
Wanawake bhana wana vurugu.Zari awatupia dongo wabaya wake, akiwananga vimada wa mzazi mwenzie, diamond platnums na kuwaambia its familia time hivyo hawana nafasi kwa sasa![]()
Zari ni kimada anawananga VIMADA WENZIE.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]