Zari Arusha Dongo gizani

Zari awatupia dongo wabaya wake, akiwananga vimada wa mzazi mwenzie, diamond platnums na kuwaambia its familia time hivyo hawana nafasi kwa sasa
Wanawake bhana wana vurugu.
Zari ni kimada anawananga VIMADA WENZIE.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahaaaaa kuzaa anaona kaolewa mkuu.
Kwa vijembe hivyo ni wazi yuko frustrated,hajiamini.
Nimemshangaa.
Na mumwambie RAMADHAN inakuja hiyo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimemshangaa.
Na mumwambie RAMADHAN inakuja hiyo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kila Ramadhani anaenda Sauzi na Dai anabaki,dah!
Mwanamke mtu mzima kama yule ni aibu sana,bora angekuwa kaolewa!
 
Reactions: SDG
Kila Ramadhani anaenda Sauzi na Dai anabaki,dah!
Mwanamke mtu mzima kama yule ni aibu sana,bora angekuwa kaolewa!
Ndoa ina heshima yake,ajitahid amlobby jamaa amuoe si vinginevyo.
So during Ramadhan kunakua na LONG DISTANCE
 
Hivi mbona Wema hakuwa na huu ujinga jamani?
Huyu bibi ana inferiority complex,sio kwa kutokujiamini huku.

Bibi Zari,najua huwa unapita huku...deal with your man,achana na habari za nyakuz.
Wanawake tunaojiamini hatudeal na nyakuz bwana,alaaaah.
Mawazo kuntu, ila umeharibu ulipomuita 'bibi',siyo vizuri.
 
Zari awatupia dongo wabaya wake, akiwananga vimada wa mzazi mwenzie, diamond platnums na kuwaambia its familia time hivyo hawana nafasi kwa sasa



Tatizo la wanawake wasiojitambua wa hapa Bongo, wakiona jamaa yuko ana enjoy na familia yake watakuwa bize kumtafuta jamaa ili awa-sodomize alafu waje wajisifie Instagram, WhatsApp, na Facebook
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Akiolewa nitamvulia kofia,otherwise akae kimya tu.


Kama hataki kuolewa na jamaa je? Kumbuka si kila mwanamke anapenda kuolewa na mtu asiye-eleweka.
 
Reactions: SDG
Hakuna cha kujidhalilisha wala nini!!dongo kwa wale wote wanaomendea mendea wanaume wa watu kutwa kujichora Tattoo ya Diamond

Tusidanganyane,wanaume wetu wote wanachepuka,kwahiyo vijembe kama hivi ni kawaida sana
Kumbe tunamendewa sanaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 


Nashukuru unaelewa hili suala.....kwa hapa Bongo ni ujinga kwa mwanamke kujiaminisha kuwa yuko pekee katika ndoa yake, ninakiri kuwa asilimia 98% ya wanaume wa hapa Bongo wana michepuko. Kibaya zaidi hata baadhi ya wanawake walio ndani ya ndoa ni wachepukaji pia.
 
Ichi kibibi nacho mhh



Zari si Bibi wala kibibi unaonekana unaongea kwa hasira tu, angalia zitakuua. Zari ni mzuri wa asili na ana mvuto wa hali ya juu. Jiangalie wewe mwnyewe kwenye kioo kisha jilinganishe na Zari, utaona jinsi anavyokuacha mbali japo wewe ni mtoto wa miaka 16.
 
Hahahaaaaaa aiseee huo ujinga hata mimi sifanyi,nioe ndio tuzae,period.

BTW Dai ana akili zake,anajua kabisa Bibi Zari is after something...alizompa zimetosha.
Hataki kujikabidhi kwake jumla hehehe
Fact kabisa..
Kazi ya kuzaa tu..
Kaa mashine ya kufyatua matofali bwana..!!
 
Kweli aise sio fan wa zari bt hapa yupo right kaongea hivyo coz anajua kuna nyakunyaku wanammendea diamond imebd awachambe na najua kuna watu roho znawauma sana hakuna kuachia mume kirahisi hapa
 
Yan ichi kikongwe kabisa we ndo unamuona mzur wkt anambemenda kijana mwenzetu wa tz
Tatizo unaangalia picha zake yani zmepigwa pic100 af inachukuliwa1 lzma umuone mzur
Bongo kna watt wazur zaid yake ye nwenyewe anajua ndo maana anajistukia
M ni mwqnaume so sfanani na zari

Simchukii cs haniusu lkn ni mon'go kama ma mon'go wengine tuu
Ila huu n mtazamo wangu tuu[emoji116] [emoji116]
 

Attachments

Hahahaaaaaa aiseee huo ujinga hata mimi sifanyi,nioe ndio tuzae,period.

BTW Dai ana akili zake,anajua kabisa Bibi Zari is after something...alizompa zimetosha.
Hataki kujikabidhi kwake jumla hehehe
Hawa ndiyo kaka zetu hawaamini kwenye first, second sijui last Love, nioe ntazaa bora nikorokochoe tu.
 
Hawa ndiyo kaka zetu hawaamini kwenye first, second sijui last Love, nioe ntazaa bora nikorokochoe tu.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Uwiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…