Umejuaje kuwa atalia mda si mrefu?
Hili nalisema kwa kuangalia jinsi diamond anavyopeperuka NA vidosho kila siku,Nina imani ZARI atalia muda si mrefu,hakutumia busara kukubali kumzalia diamond mapema kiasi hicho,domo hana utulivu wa kutosha kufikia hatua ya Kuwa mke NA baba wa mtoto
Hili nalisema kwa kuangalia jinsi diamond anavyopeperuka NA vidosho kila siku,Nina imani ZARI atalia muda si mrefu,hakutumia busara kukubali kumzalia diamond mapema kiasi hicho,domo hana utulivu wa kutosha kufikia hatua ya Kuwa mme NA baba wa mtoto
Mkuu weka ushahidi au viashilizi kidogo!