Zari atajuta kuzaa na Diamond, Diamond hajatulia bado anapepea

Zari atajuta kuzaa na Diamond, Diamond hajatulia bado anapepea

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Hili nalisema kwa kuangalia jinsi diamond anavyopeperuka NA vidosho kila siku,Nina imani ZARI atalia muda si mrefu,hakutumia busara kukubali kumzalia diamond mapema kiasi hicho,domo hana utulivu wa kutosha kufikia hatua ya Kuwa mme NA baba wa mtoto
 
Kwa hiyo mimba ilipoingia ulitaka atende dhambi la kuiondoa kwa kuua kiumbe kisicho na kosa?

Ila D kweli anakuumiza roho hadi unaandika haya ili iweje unataka waachanr haya nasi kawafunge pingu wasikutane tena.
 
Kwa mfano sasa we ulitakaje ndo ivo sasa ye kashaamua kumzalia ikikuuma kunywa tindikali ufe ili usione maisha yao....
"Unajipunguzia siku za kuishi kuchukia watu na maisha yao badala uwaze we utakuja kua na nani na utamzalia lini au kama tayari mtafanikiwaje waza wenzio"
 
Hili nalisema kwa kuangalia jinsi diamond anavyopeperuka NA vidosho kila siku,Nina imani ZARI atalia muda si mrefu,hakutumia busara kukubali kumzalia diamond mapema kiasi hicho,domo hana utulivu wa kutosha kufikia hatua ya Kuwa mke NA baba wa mtoto

Zari yuko na target zake usicheze na Bosslady, Diamond ndio anapaswa kukaa kimachale na huyo shori.
 
Halafu utakuta huyu ni mwanaume na akili zake.
Unawaza yasio kuhusu. Mmu ningekuwa raisi ningetembea na viboko. Kuna vijana wajinga sana mtaani aise
 
Hili nalisema kwa kuangalia jinsi diamond anavyopeperuka NA vidosho kila siku,Nina imani ZARI atalia muda si mrefu,hakutumia busara kukubali kumzalia diamond mapema kiasi hicho,domo hana utulivu wa kutosha kufikia hatua ya Kuwa mme NA baba wa mtoto

Kwani Zari katulia??
 
Sa si ulete na picha za hao vidosho tuwaone

ImageUploadedByJamiiForums1431875995.300286.jpg

Huyu hapa
 
Back
Top Bottom