Zari avunja rasmi mahusiano yake na Diamond Platinumz sababu ya kukosekana kwa uaminifu katika mahusiano yao

Ndoa ya masafa hivyo mkiwa na hamu ndo msafiriane ni mtihani. Raha ya mke au mume mkae wote hata ikitokea kasafiri au yuko masomoni iwe kwa muda. Sio Eti amewekeza nchi ya mbali nyumba umnunulie huko huko ni mtihani jamani!! Kila ukiwa na hamu lazima ticket ya ndege ikuhusu.

The woman is good, a wife to her extent but.......
 
Hawa ndiyo wale wanaomuamini mane [HASHTAG]#BringbackBhoke[/HASHTAG].
 
Mapenzi ya siku hizi buana!? ''mapenzi'' yanavunjiwa Instagram. Yaani ni kama enzi zile za barua za utumbuaji alizkokuwa anazitoa yule jamaa wa Ikulu usiku wa manane. Unaamka asubuhi unakutana na screenshot kwa group la Whatsapp.
 
Mapenzi ya siku hizi buana!? ''mapenzi'' yanavunjiwa Instagram. Yaani ni kama enzi zile za barua za utumbuaji alizkokuwa anazitoa yule jamaa wa Ikulu usiku wa manane. Unaamka asubuhi unakutana na screenshot kwa group la Whatsapp.
Kwani kuna mapenzi ya kweli tena mkuu?! Umesikia yakina Joyce Kiria kuanika kila kitu mtandaoni, bado hawa, bado yakina wolper, bado yakina Tunda, bado yakina .... Ni shida...
Mila na Tamaduni zetu tupa kule, kila kitu mtandaoni, sijuwi tutafikia wapi..
 
Zari ameshawahi kuimba verse gani au chorus ipi kwenye album za Diamond?


Chibu kabla ya kumpata Zari,alikuwa yuko locally zaidi

na Zari ni Entrepreneur wakati Chibu ni Entertainer;hiyo combination ilimsaidia zaidi Mondi...(tabia za mbagala na tandale alipunguza) akaanza kuwa wa kimataifa

kuna tofauti kati ya kuwa na 'Mke bora' na 'bora mke'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…